Hii mbaya sana......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Mwanaume unapewa mkong'oto wa nguvu na mkeo,unakimbilia Polisi,kaunta unaulizwa 'kulikoni?','nimepigwa na mke wangu,angalia ninavyovuja damu kichwani'unajibu huku chozi linakutoka,unaona polisi anaanza kutabasamu kwa mbali na anamminyia jicho askari wa kike.'tukusaidie nini sasa?' anakuuliza kwa zarau.'Naomba pf3' unajibu. ''Kwani wakati anakutwanga we ulikuwa wapi?' anakuuliza kwa mshangao kabisa.'Kanikamata akanibonda' unaitikia,mara unasikia kicheko kwa mbaalii kituoni. Ndo nini sasa hii? Angekuwa mwanamke karipoti kesi ya kupigwa wangu wangu RB inafunguliwa.
Kinababa hebu tuulizane hapa,ukiiwa 'abused'(kwa lugha ya AD) kimbilio lako wapi? Wenzetu kina mama vikishindikana utasikia wamekwenda kwa Mrema(mid 90's),mara TAWLA,mara TAMWA,mara LHRC,hata mashirika ya kimataifa kibao yapo kwa ajili ya kuwalinda na kuwatetea,hata Bunge sexual offences act ipo kuwalinda wao na watoto,kinababa je ulinzi uko wapi?
 
Mwanaume kupigwa na mwanamke kwanza ni kashfa, NA DHARAU kubwa kwa nafasi ya mwanaume katika FAMILIA!
Lakini pia inadhihirisha kuwa mwanaume huwezi kutetea boma lako in case of unexpected event!
Kwa namna yoyote mwanamke hatakiwi kumzidi nguvu(za kupigana) mwanaume ndani, unless nguvu hizo ziwe za kuongeza kipato cha familia!
Lakini pia usiombe kuwa na mwanamke anayekutegea ukiwa umelala!...atakufanya hamna anytime!
 
yale yaleeeee ya afande chacha wa central,unaripoti tukio anakwambia 'arroo rimwanaume rinabigwa na kamwanamke' hajui wengine wameoa 'ma giant' wakati wao ni kadogoo.
 
Mwanaume unapewa mkong'oto wa nguvu na mkeo,unakimbilia Polisi,kaunta unaulizwa 'kulikoni?','nimepigwa na mke wangu,angalia ninavyovuja damu kichwani'unajibu huku chozi linakutoka,unaona polisi anaanza kutabasamu kwa mbali na anamminyia jicho askari wa kike.'tukusaidie nini sasa?' anakuuliza kwa zarau.'Naomba pf3' unajibu. ''Kwani wakati anakutwanga we ulikuwa wapi?' anakuuliza kwa mshangao kabisa.'Kanikamata akanibonda' unaitikia,mara unasikia kicheko kwa mbaalii kituoni. Ndo nini sasa hii? Angekuwa mwanamke karipoti kesi ya kupigwa wangu wangu RB inafunguliwa.
Kinababa hebu tuulizane hapa,ukiiwa 'abused'(kwa lugha ya AD) kimbilio lako wapi? Wenzetu kina mama vikishindikana utasikia wamekwenda kwa Mrema(mid 90's),mara TAWLA,mara TAMWA,mara LHRC,hata mashirika ya kimataifa kibao yapo kwa ajili ya kuwalinda na kuwatetea,hata Bunge sexual offences act ipo kuwalinda wao na watoto,kinababa je ulinzi uko wapi?

Ebo
icon8.png
....ULINZI UPO MIKONONI MWAKO MWANAUME,

MWANAUME NI WAJIBU WAKO KUJILINDA NA KUMLINDA MKEO PIA.

HIVI INAKUWAJE MWANAUME UNAPIGWA NA MKEO?,
au amekuvizia ukiwa umelala?, amekupiga na kitu kizito ghafla?.

MIMI NAAMINI MWANAUME UNAWEZA KUPIGWA NA MWANAMKE ULINGONI /BARABARANI NA SI ZAIDI YA HAPO.UKIZINGATIA KUWA MWANAMKE YOYOTE ANA SIFA TOFAUTI NA SIFA YA MKE.

Lakin eti kwenye ndoa mwanaume unapigwa na mkeo??,
aah jamani knn iwe hivyo?
AU KWA VILE SIKU HIZI WANAUME HAMWENDI JANDO PORINI?,Haya ndiyo madhara yake,.
Na kibaya zaidi mwanaume unadiriki kusema hadharani kuwa umepigwa na mkeo,
aah jamani BABA /KAKA/WAJOMBA/BABU ZETU mnatupeleka wapi?.
Kama unaona umeoa mke mbambe basi Unashindwa hata kwenda GYM kidogo ukaongeze kamsuli ka kiuanaume?? ili hata mkeo akikuattack uweze kumdhibiti na kudhihirisha uanaume wako.

Ikitokea kuwa wewe ndiyo kaka/baba/mjomba/babu yangu unaniambia umepigwa na mkeo,
utanipa maswali mengi sana kichwani mwangu juu ya uanaume wako.
MOJA YA SIFA YA MWANAUME NI KUMLINDA MKE WAKE SASA UNAITEKELEZA VIPI IKIWA
UNAWEZA KUPIGWA NA MKEO??.

MWANAUME RUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU YA KIUCHUMI/KIUONGOZI,
LAKIN USIRUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU ZA KUKUPIGA MPAKA UKAFIKIA
HATUA YA KUKIRI HADHARANI KUWA UMEPIGWA NA MKEO.
 
Hivi wakati unaoa Baunsa, unakuwa huoni au mke anaupata huo ubaunsa kwenye ndoa??
 
utanipa maswali mengi sana kichwani mwangu juu ya uanaume wako,ntalazimika kuongea na wewe kwa kirefu sana ksb hata maswali ya kuuliza yatakuwa mengi sana.
MOJA YA SIFA YA MWANAUME NI KUMLINDA MKE WAKE SASA UNAITEKELEZA VIPI IKIWA
UNAWEZA KUPIGWA NA MKEO??.

MWANAUME RUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU YA KIUCHUMI/KIUONGOZI,
LAKIN USIRUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU ZA KUKUPIGA MPAKA UKAFIKIA
HATUA YA KUKIRI HADHARANI KUWA UMEPIGWA NA MKEO.
 
NA HUENDA ANAKUPIGWA NA MKEO MBELE YA WATOTO WAKO WA KIUME/ KIKE,
HAPO BABA UTAKUWA UNATOA FUNZO
KWA WATOTO WAKO WA KIKE KUWA, WAKIWA WAKUBWA RUKSA KUWAPIGA WAUME ZAO,
PIA KWA WATOTO WA KIUME RUKSA KUPIGWA NA WAKE ZAO.......lol

POLE SANA KWA KUOA MWANAMKE NA SIYO MKE.
 
[/COLOR][/B]

Ebo
icon8.png
....ULINZI UPO MIKONONI MWAKO MWANAUME,

MWANAUME NI WAJIBU WAKO KUJILINDA NA KUMLINDA MKEO PIA.

HIVI INAKUWAJE MWANAUME UNAPIGWA NA MKEO?,
au amekuvizia ukiwa umelala?, amekupiga na kitu kizito ghafla?.

MIMI NAAMINI MWANAUME UNAWEZA KUPIGWA NA MWANAMKE ULINGONI /BARABARANI NA SI ZAIDI YA HAPO.UKIZINGATIA KUWA MWANAMKE YOYOTE ANA SIFA TOFAUTI NA SIFA YA MKE.

Lakin eti kwenye ndoa mwanaume unapigwa na mkeo??,
aah jamani knn iwe hivyo?
AU KWA VILE SIKU HIZI WANAUME HAMWENDI JANDO PORINI?,Haya ndiyo madhara yake,.
Na kibaya zaidi mwanaume unadiriki kusema hadharani kuwa umepigwa na mkeo,
aah jamani BABA /KAKA/WAJOMBA/BABU ZETU mnatupeleka wapi?.
Kama unaona umeoa mke mbambe basi Unashindwa hata kwenda GYM kidogo ukaongeze kamsuli ka kiuanaume?? ili hata mkeo akikuattack uweze kumdhibiti na kudhihirisha uanaume wako.

Ikitokea kuwa wewe ndiyo kaka/baba/mjomba/babu yangu unaniambia umepigwa na mkeo,
utanipa maswali mengi sana kichwani mwangu juu ya uanaume wako.
MOJA YA SIFA YA MWANAUME NI KUMLINDA MKE WAKE SASA UNAITEKELEZA VIPI IKIWA
UNAWEZA KUPIGWA NA MKEO??.

MWANAUME RUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU YA KIUCHUMI/KIUONGOZI,
LAKIN USIRUHUSU MKEO AKUZIDI NGUVU ZA KUKUPIGA MPAKA UKAFIKIA
HATUA YA KUKIRI HADHARANI KUWA UMEPIGWA NA MKEO.
Mnunu ungejua!Naomba nikuhakikishie katika hadhara hii ya MMU kuwa waume kibao wanakung'utwa na wake zao,au unataka tutaje majina?chunguza utaniambia,na hii attitude hii ya mme hawezi pigwa ndo inafanya wanaume wawe kimya huku wanaumizwa,fuatilia utaona.
 
Hivi wakati unaoa Baunsa, unakuwa huoni au mke anaupata huo ubaunsa kwenye ndoa??
ndugu yangu kwani wakati wa malavidavi ya uchumba hayo utayajua kuwa behind her smiling face there is a viscious heart,si mpaka mkae kwanza ndo uanze kula kibondo?
 
Mnunu ungejua!Naomba nikuhakikishie katika hadhara hii ya MMU kuwa waume kibao wanakung'utwa na wake zao,au unataka tutaje majina?chunguza utaniambia,na hii attitude hii ya mme hawezi pigwa ndo inafanya wanaume wawe kimya huku wanaumizwa,fuatilia utaona.

WAT?? hapo kwenye bold.......
Siamini kabisa, anaanzaje kukupiga?
Shambulio la ghafla au?,
umelala anakuvizia au?,
umelewa sana?,
unaumwa malaria kali sana?,
au so siri sielewi kabisa? anakupiga piga pigaje??,
PLZ! naomba unambie hasa kwa kutumia mfano wako wewe,
UMEPIGWAJE MPENDWA???
 
Mwanaume unapewa mkong'oto wa nguvu na mkeo,unakimbilia Polisi,kaunta unaulizwa 'kulikoni?','nimepigwa na mke wangu,angalia ninavyovuja damu kichwani'unajibu huku chozi linakutoka,unaona polisi anaanza kutabasamu kwa mbali na anamminyia jicho askari wa kike.'tukusaidie nini sasa?' anakuuliza kwa zarau.'Naomba pf3' unajibu. ''Kwani wakati anakutwanga we ulikuwa wapi?' anakuuliza kwa mshangao kabisa.'Kanikamata akanibonda' unaitikia, mara unasikia kicheko kwa mbaalii kituoni. Ndo nini sasa hii? Angekuwa mwanamke karipoti kesi ya kupigwa wangu wangu RB inafunguliwa.
Kinababa hebu tuulizane hapa,ukiiwa 'abused'(kwa lugha ya AD) kimbilio lako wapi? Wenzetu kina mama vikishindikana utasikia wamekwenda kwa Mrema(mid 90's),mara TAWLA,mara TAMWA,mara LHRC,hata mashirika ya kimataifa kibao yapo kwa ajili ya kuwalinda na kuwatetea,hata Bunge sexual offences act ipo kuwalinda wao na watoto,kinababa je ulinzi uko wapi?

Haya ya vicheko unajua zinaashiria nini???
Ndo DHARAU anazosema PJ
Mwanamke anaweza akakudhuru kwa kukuwekea sumu au kukuvizia na kukupiga na kitu kizito mfano kichwani
Lakin ngumi yake ngumi yangu anidunde??????
Labda mwanamke awe hivi
female_body_builders08.jpg

Na mwanaume awe

JOKEBELLY.JPG
 
[/COLOR][/B]

Ebo
icon8.png
....ULINZI UPO MIKONONI MWAKO MWANAUME,

..................

hili ndio jibu........... tena ole wako unikute mimi nyuma ya kaunta ya polisi, utajuta kwa nini ulikuja kutoa taarifa........... hakyanani nakulaza selo kidogo kwa uzembe!!............ kama ni matibabu utaenda baada ya kunyea debe japo siku mbili hivi na PF3 labda mkeo aje kukuombea, sikupi ng'o..................... !!! pambafffff kabisa...................
 
hili ndio jibu........... Tena ole wako unikute mimi nyuma ya kaunta ya polisi, utajuta kwa nini ulikuja kutoa taarifa........... Hakyanani nakulaza selo kidogo kwa uzembe!!............ Kama ni matibabu utaenda baada ya kunyea debe japo siku mbili hivi na pf3 labda mkeo aje kukuombea, sikupi ng'o..................... !!! Pambafffff kabisa...................

asante sana akili kichwani,
umezidi kudhihirisha kuwa ni kweli kwa 100% una akili kichwani,
safi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom