Hii mbaya sana......

Mh hii kama ingekuwa kule kwa AD vile! Ila mambo kama haya yanatokea mara chache sana compare na wanaume wanavopiga wanawake
 
jamani bishanga,poleee!sasa un auguzwa na nani manake shurti supu za motoo na massage za hapa na pale.naweza kukuuguza,ila mie pia baunsa,ukiniudhi kibano palepale ila malavidavi kibaao!
 
Kama mwanaume mjinga mjinga unaweza kupokea kisago kama kawaida.Hasa kama umeoa jimama lililo fit.
 
Mnunu ungejua!Naomba nikuhakikishie katika hadhara hii ya MMU kuwa waume kibao wanakung'utwa na wake zao,au unataka tutaje majina?chunguza utaniambia,na hii attitude hii ya mme hawezi pigwa ndo inafanya wanaume wawe kimya huku wanaumizwa,fuatilia utaona.


Kaka siyo kweli hata kidogo, acha kudanganya uma, kupigwa na mkeo si jambo rahisi labda uache kujibu mapigo tu. Labda ulaya ampapo wanawake wanaenda jim. Lakini hawa wa bongo siwezi kuamini hata kidogo.
 
wenzetu wakenya wana chama cha kutetea haki za wababa, huko kesi za wababa kupigwa na kujeruhiwa na wake zao ni nyingi kuliko kesi za wake kupigwa na waume zao...
tusifiche ugonjwa, mi naamini wapo wengi wanaopigwa na wake zao ila wanaona haya kusema kwa kuogopwa kuchekwa. utadundwa kila siku.
wababa tufungue chama chetu, mi nikioa tu najiunga fasta.
 
Kuna haja ya akina BABA kufungua NGO ya kutetea haki zetu....Ukizidiwa na wife ukapigwa inaonkeana ni UZEMBE wako; lakini ki ukweli hatukuumbwa sawa...Kuna akina Mama jamani wana msuli!!!!! Akikukwida kutoka hadi ije JAY AMBE (breakdown) kukuchomoa...Does it mean hawa akina Mama TUSIWAOE???
 
Kupigwa mwanaume ni noma aisee, mie hata kama naweza kupiga siwezi kufanya hivo ni aibu sana mwanaume atajiona mnyonge sana aisee
 
Back
Top Bottom