Uchaguzi 2020 Hii Kweli Mashine; 96% Kampeni Hajachoka Mwili Wala Akili

Kuna yule Maparachichi kila siku 3 anapumzika wiki nzima, halafu anasema hapa kazi tu wakati yeye mwenyewe kampeni ya mwezi tu yupo taabani😂😂

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Basi msihangaike kuiba kura tar 28.muone mtakavyonyooshwa nyiembogamboga
H a ha haaa! Mtani, na wewe unataka urejeshewe madaraka kama ilivyokuwa wakati wa ukoloni!? Ha hahahaa! Usiniabishe, Mkuu. Mnyime kura Lissu tarehe 28/10/2020. Kwani anataka watanzania tuwe manamba na watumwa!!! Ana maanisha ndiyo maana hajakanusha maneno yake haya!!!
 
umecheka umejichekesha kimalaya malaya
Hahahaha duh...chadema..ok...inawezekana usemavyo...ila fanya ifuatavyo: mwambie baba yako mzazi kuwa wewe ni Malaya...halafu pia ukamwambie mama yako mzazi kuwa mama wewe ni Malaya na umenizaa kutokana na umalaya wako wewe na baba...halafu baada ya kuwaambia hivyo uje hapa tuendelee na mjadala..
 
Lisu anafanya kazi ya kuchosha maana hatamabulia zaidi ya 20%

Baada ya kugundulika anatumika na kina Amsterdam vyombo vya usalama vumemwambia Magu hana haja ya kukimbizana na huyo mtoto wakati hakuna mtz wa kumchagua
 
Huyu mtu #Ni Yeye, aamejaa vyuma mwilini lkn hajapumzika hata siku moja. Kila uchwao yeye ni kiguu na njia kupiga kampeni.

Badala yake yule aliyejaribu kumuuwa ndiye anachemsha. Hii inaelekea Mungu amehamishia ubovu na maumivu kwa huyu muuawaji.
Vipi ukishapata hamu ya kuwa na wanaume?
 
Hata lowassa ilikuwa hivyo hivyo 2015!
Huyo si ndio mlikuwa mnasema mgonjwa hadi mkaleta kiki ya kupiga pushups viuno jukwaani Ku prove kuwa ni mgonjwa na wenu yuko fiti?
Mkamsema kuwa kashusha mzigo jukwaani kule Geita?
Kijana au ulikuwa uko shule?
 
Lisu anafanya kazi ya kuchosha maana hatamabulia zaidi ya 20%

Baada ya kugundulika anatumika na kina Amsterdam vyombo vya usalama vumemwambia Magu hana haja ya kukimbizana na huyo mtoto wakati hakuna mtz wa kumchagua
ujinga mzigo kweli
 
Hahahaha nimecheka Sana...jibu zuri Sana...hajui huyo...anadhani wanaokuja kwenye kampeni wote no wapiga kura...hajui kuwa asilimia 90 ya wapiga kura hubaki majumbani ...wakisubiri siku ya siku...
Ila wakija kumuona Diamond hao ndio wapiga kura? Una vituko wewe!
 
Upinzani usipo ungana kwa dhati itawachukua miaka mingi kuiondosha CCM, baada ya uchaguzi huu malalamiko ya upinzani watakua kwa NEC kwamba wameibiwa kura.
 
Huyo si ndio mlikuwa mnasema mgonjwa hadi mkaleta kiki ya kupiga pushups viuno jukwaani Ku prove kuwa ni mgonjwa na wenu yuko fiti?
Mkamsema kuwa kashusha mzigo jukwaani kule Geita?
Kijana au ulikuwa uko shule?
Sasa kwa haya maelezo yako Eddo ana tofauti gani na TAL?
 
Upinzani usipo ungana kwa dhati itawachukua miaka mingi kuiondosha CCM, baada ya uchaguzi huu malalamiko ya upinzani watakua kwa NEC kwamba wameibiwa kura.
CCM ni majizi mwaka huu ndio mwisho
 
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.
Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
Huyu jamaa tukisema Mungu alimponya zile risasi 16 za Ccm na mwenyekiti wao ili aje kuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano Tanzania 2020-2025 watu wawe wanatuelewa. Embu fikiria anafanya yote haya huku akiwa ni mlemavu!!

Acheni tu Mungu aitwe Mungu.
 
Pana mmoja aliwahi dhihaka afya ya mwenzie Leo bila rejeta na intercooler engine itawaka moto
 
H a ha haaa! Mtani, na wewe unataka urejeshewe madaraka kama ilivyokuwa wakati wa ukoloni!? Ha hahahaa! Usiniabishe, Mkuu. Mnyime kura Lissu tarehe 28/10/2020. Kwani anataka watanzania tuwe manamba na watumwa!!! Ana maanisha ndiyo maana hajakanusha maneno yake haya!!!
mbn unajichekesha ivo nani anakutekenya
 
Ila wakija kumuona Diamond hao ndio wapiga kura? Una vituko wewe!
Hivi unadhani wanamuziki au wasanii ni wapiga kura...wale ni wahamasishaji tu...halafu wapi kazini...hawahamasishi bure..wanalipwa wale..
 
Back
Top Bottom