Uchaguzi 2020 Hii Kweli Mashine; 96% Kampeni Hajachoka Mwili Wala Akili

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,803
71,229
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.

Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.

Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.

Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
 
Hata kampeni kashashindwa, yaani anawaahidi watanzania kuwa atawarejeshea madaraka kama ilivyo kuwa wakati wa ukoloni!!! Kuna kampeni humo kweli!!!?
Halafu utasikia "sitawabagua" tuna watu wa ajabu nchi hii- Kwa hiyo kauli tu kutolewa na rais aliyeko madaraki tunatakiwa kwenye Wrld Guinness Record
 
Inaelekea hujui mahusiano ya kampeni na uchaguzi.
Hahahaha nimecheka Sana...jibu zuri Sana...hajui huyo...anadhani wanaokuja kwenye kampeni wote no wapiga kura...hajui kuwa asilimia 90 ya wapiga kura hubaki majumbani ...wakisubiri siku ya siku...
 
Lissu ni "Mpango wa Mungu" , amepona risasi 16 na watesi wake wanaona wamekata pumzi! Berti za moyo zinachechemea na wanatembea na feni
 
Back
Top Bottom