Hii kali

IbraMwakikoti

Member
Jun 27, 2012
15
0
Mtoto: eti babaa kwani we na mama mnataka muanze shule?
Baba: hapana kwan vip mwanangu?
Mtoto: mbona jana usiku nilisikia unamuuliza mama "vip twende la pili"
Baba:!?speechless
 
aisee dogo utaponza nifukuzwe kazi unanisababisha nishindwe kucheka taratibu..
 
Umaskini mbaya sana ati, huwezi kulala na mke wako karibu na mtoto mdogo halafu ashindwe kukuumbua mbele za watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom