Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
general knowledge, ewe kama mtoto wako unamuwekea WASAFI TV siku nzima anajifunza kumenua kiuno kama maua sama ndio itafahamika, ataulizwa unapenda mziki gani, unajua kuucheza, etc atajibu na takjata mauno, hiyo ndiyo general knowledge😃😃😃 Yaan katoto ka 1-3 kana pigwa interview jaman haya ni maajabu binafsi nayaona embu naomba nijuze interview ya watoto wa umri huo una husisha nini hasa ?