Hii inaitwa kuondoka home na mikosi...

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Siku ikiwa ni siku haikwepeki kabisa. Ebu angalia hii, utatoa maelezo gani hapa? Salini mkiomba maana hamjui itatokea wapi....
 
Attachments

  • Car Accident [from www.metacafe.com].mpeg
    1.4 MB · Views: 192
That is very dangerous...! And the most disturbing thing ni kwamba unaweza kuchukua tahadhari zote na kuendesha kwa uangalifu mkubwa, but akaja mlevi mmoja au mtu tu na stress zake akakugonga na kukusababishia uharibifu wa mali au hata kukupotezea maisha kabisa :angry:
 
Hizo kizo kibiologia wanasema: Random selection. Hakuna cha fittest will survive hapo
 
Back
Top Bottom