NyagiGang, hii Konyagi fusion umeionaje?

Brothers Karamazov

Senior Member
Jul 13, 2023
152
391
NyagiGang!

Baada ya Ugali mkubwa hapa Nyamilangano, nikahitaji Konyagi, my all time liqour.

Kuna kadada hapa Grocery, keupeee! Maradhi yangu, kakanishawishi kuna Konyagi mpya inaitwa Konyagi Fusion. Kutokana na weupe, nikakosa nguvu ya kukabishia, unajua udhaifu wetu sisi mangosha, imebidi nikaambie 'nipe tu'.

Kwa kweli sijui madudu gani haya. Tamu kama unakunywa Novida. Nimepiga kiasi imegoma kabisa. Hii nadhani ni kwa ajili ya wanawake. Wala vyuma hii haitufai. Ile ladha halisi ya nyagi haipo kabisa.

Mla nyagi mwenzagu wewe umeuonaje huu mzigo?
 
Napita hapa corner lounge makuburi,nmeona kuna kuna kijana anaskiliza ile nyimbo "baada ya kumaliza masomo nilipata kazi...wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu"
Ana balance chemical equation ya nyagi na juice ya ukwaju.

kumbe konyagi unaweza kuchanganya na juice ya ukwaju na hamsemi?😀😀😀
 
sio tu juice ya ukwaju....mpaka azam embe juice
 
Napita hapa corner lounge makuburi,nmeona kuna kuna kijana anaskiliza ile nyimbo "baada ya kumaliza masomo nilipata kazi...wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu"
Ana balance chemical equation ya nyagi na juice ya ukwaju.

kumbe konyagi unaweza kuchanganya na juice ya ukwaju na hamsemi?
 
Back
Top Bottom