Hii Imekaaje Wapendwa

Ina maana wewe hucheleweshwi eeh?unaanza kuniudhi tartiiiiiibu

Love malaria huwa haicheleweshiwa kutibiwa, ukiichelewesha mgonjwa anaweza kufa.....malaria haikubaliki. so siamini katka kumchelewesha mtu anahitaji kwenda mlimani....maombi ni kama dawa!
 
Daaa uko sahihi kabisa PM, hata leo asubuhi nimepita, amesema nikikuona nikusalimu sana, mengine alonambia ntakwambia kule.

Umeanza uchokozi eeh....haya mama na mi nikianza usianze kulia tu na leo wala sitakuhurumia....
 
hahahahahahhahah.............mwe!!
nimecheka hadi nimelia.......24/7....???
hadi nauonea huruma huo ubavu wako wa pili maana hayo sasa ni mateso.......
hahahahhahah

kha...Smiles...//sasa kiungo changu na ubavu wa pili vinahusianaje ,,,,,,:welcome:
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana
Jamaa akatafuta msichana mwingine akaoa,

Hicho ndo alichosema Dena Nyamayao,hawakufikia kuona,that means wote wawili,decision yawezekana ilikuwa yao au kuna jambo lilitokea ikabidi waachane na mwanaume atafute mwingine.Hivi Dena yuko wapi mbona hatusaidii kumsaidia?????

Michelle nipo nipo. Hapana uamuzi ulikuwa wa mwanaume kuoa mwanamke mwingine bila ridhaa ya huyu mdada!!!
 
Love malaria huwa haicheleweshiwa kutibiwa, ukiichelewesha mgonjwa anaweza kufa.....malaria haikubaliki. so siamini katka kumchelewesha mtu anahitaji kwenda mlimani....maombi ni kama dawa!

Hapo kny red umenigusa love,,,vingine ntasema :A S thumbs_down:
 
Sorry Dena nilikuwa sijakuelewa,sasa umeeleza vizuri kuwa aliachwa bila sababu,nawaongelea hao hao wanaume viumbe wazito na wanaosahau haraka sana,kwa haya uliyoyasema sasa simshauri kabisa akubali kuolewa na huyo mwanaume, asikubali kuwa baggage box ya huyo mwanaume au back up plan,there is life without a man,kama aliweza kukaa single miaka yote hiyo na akajipenda hadi huyu alipofiwa na mkewe bado akamuona anafaa then kama alipangiwa kuolewa ataolewa awe na subira.......Nasikia kutapika,non sense! natamani ningelijua hili mapema,next time Dena weka maelezo vizuri.
 
sasa kuna raha hapo.....?

ukitoka milimani nitakuelezea vizuri........:smile-big::smile-big:

RAHA IPO MTENDWA ANAENJOY, HAJA LALAMIKA. mazoea hujenga tabia ha ha haaaaa. Always Mwanzo mgumu
 
Sorry Dena nilikuwa sijakuelewa,sasa umeeleza vizuri kuwa aliachwa bila sababu,nawaongelea hao hao wanaume viumbe wazito na wanaosahau haraka sana,kwa haya uliyoyasema sasa simshauri kabisa akubali kuolewa na huyo mwanaume, asikubali kuwa baggage box ya huyo mwanaume au back up plan,there is life without a man,kama aliweza kukaa single miaka yote hiyo na akajipenda hadi huyu alipofiwa na mkewe bado akamuona anafaa then kama alipangiwa kuolewa ataolewa awe na subira.......Nasikia kutapika,non sense! natamani ningelijua hili mapema,next time Dena weka maelezo vizuri.

Noted!!!!
 
JAMANI WAKATI MWINGINE MNATUROGA miziziology Aaaah!
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana
Jamaa akatafuta msichana mwingine akaoa,

Hicho ndo alichosema Dena Nyamayao,hawakufikia kuona,that means wote wawili,decision yawezekana ilikuwa yao au kuna jambo lilitokea ikabidi waachane na mwanaume atafute mwingine.Hivi Dena yuko wapi mbona hatusaidii kumsaidia?????

Michelee....huyu kaka na dada c walikuwa bado kwenye uhusiano mpaka aliposhtukiziwa kwamba anaoa? kama ni hivyo huyu mkaka alikuwa na uhusiano na wadada wawili kwa wakati mmoja mpaka alivyopata maamuzi ya amuoe nani ndio akamshtukizia huyu mdada mwathirika, hawakufikia kuoana coz mkaka aliona huyu mdada mwingine ndio anaemfaa na hakuna mahali Dena amesema waliachana ndio mkaka akatafuta mdada mwingine bali wapo katika uhusiano yakatokea ya kutokea...hapo ni kwamba kaka alikuwa na uhusino yote miwili kwa wakati mmoja mpaka alivyochukua uamuzi wa kumuoa huyo marehemu kwasasa.
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana
Jamaa akatafuta msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.

Picha hapo inaonyesha hiyo ilikuwa nyumba ndogo yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom