Hii imekaaje wanaume, mbona kama ni dhambi

hakuna logic hata kwa wanaume wanaosema kuwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa wanaleta ushenzi. Hivi kweli mwanamke anakuhudumia na kukuzalia watoto halafu unaona ni ushenzi?

Kama mbwai na iwe mbwai, naona umekasirika.
Kwani mwanaume hamhudumii mwanamke, na mwanamke atazaa bila mwanaume..?
 
Back
Top Bottom