Hii imekaaje toka Igunga kusanyiko Dar?

wewe kweli mzee kijana duh!!!!! Your heart is in your boots like Nchemba and Nepi
 
Guys are you seious kwamba chakula cha msaada hakuna tena ? Si kilipelekwa muda ule au walisemawatapeleka baada y uchaguzi ?I am bit confused .
 
Wana igunga ndio watie akili how come mbunge wao kura wapige wao sherehe iwe dar,kidogo kidogo ndio wanakimbiwa wameambulia kofia na tsht ahadi zote za uchaguzi ni kapuni,ccm inajipanga wapi kwa kurudisha pesa zilizotumiwa ktk uchaguzi hawana habari na igunga na wala haiwahusu,watamuona dr kipindi cha uchaguzi mwingine
 
Jamani waacheni wana wa Igunga!!! walichokifanya ndichi kilichowakimbiza magamba kutosherehekea kule, maana watu hawako pamoja noa na wanalijua hilo wamekeimbilia Dar, kujifariji kwa wizi wao. Wasipotoshe hoja wao wanajua NEC ni yao! mbona imewazuia watu kupiga kura kinyume na sheria ya Fomu na. 17 weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ina maana people hawa CCM hawajakaa na wana Igunga kusema nao hata kidogo na wawap uhondo wa muziki ?Mambo yote Manzese duh nimechoka CCM.
 
Kipengele cha Chadema kusaidiwa na tume kupata hizo kura elfu 23 ndo kimenivutia' kumbe hata ccm wanajua tume ya uchaguzi inamatatizo! Kipengele cha sherehe kwenda kufanyika Dar ni kwa sababu ya Nape asingeweza kwenda Igunga kwani kuna marufuku yake' halafu watu wa Igunga hawana cha kupongezwa kwani ushindi umetengenezwa toka makao makuu Dar es salaam.
 
Aiseee hawa CCM kweli wamechanganyikiwa kabisa!!! Hata huku Moshi eti wanaandamana kusheherekea ushind i wa Igunga na kufunga barabara!!! Ama kweli CCM tunaenda kuizika soon.
 
Katika hali ya kushangaza wanaJF wenzangu eti kwny ule uchaguzi uliofanyika Igunga na Magamba kushinda kwa kushindwa,, wakaanza kupita mitaani huku Moshi kusheherekea na kutoa maneno ya kebehi kwa wapinzani wao i mean CDM,,sasa ushindi wao huko kwa wananchi ambao bado hawajafunguliwa kiakili ndo wanakuja kushangilia huku kwetu ambako CCM imezikwa milele na itakaa iinuke tena. Mimi naona ni kujipa moyo tuu maana Moshi imeelimika sana ndo maana sisi hatudanganyiki kabisa. !!! Nawasilisha wadau.
 
Wana JF nimeshindwa kuelewa kwamba sherehe kubwa imekuja kufanywa Dar badala ya Igunga .Pia CCM wana Wabunge 200 plus bado wanazunguka kuandamana juu ya wiz wa Igunga .Can anyone tell me kuna siri gani hapa Mmemsikia Nape akibwabwaja na wajinga wenzake eti Upinzani na kumwaga damu .Jamani hayo mambo yamkaaje? Umemsikia Mchemba anasema Chadema wasingaliweza kupata kura hata 1000 bila ya kusaidiwa na Tume kweli hao waalimu ni 23,000 hapo Igunga ? Hii imekaaje ?

Kweli mmeumia. Hivi hakuna lingine la kufanya zaidi ya kulia lia? Kichefuchefu!!!!
 
wajinga ndio wali wao wapiga kura Igunga wenye nchi washeherekea dar

Wana Igunga walidharauliwa siku nyingi. Ni toka wakati ule walipoletewa mawakala kutoka nje ya jimbo kuja kuhesabu kura zao kama vile wenyewe hawajui kusoma au hawaaminiki.
 
hawa watu wananiuzi na matamk yao ya kipuuuuuuzi haswa huyu nepi na mla wake za watu
 
Nilidhani kulikuwa na vyama 8 vilivyoshiriki kaika uchaguzi wa Igunga kama ni hivyo inakuwaje CCM inaitaja Chadema pekee kila kukicha au ni kukiri kuwa kiliwahenyesha?
 
Sasa wewe unaumia nini kwa CCM kufarahia mafanikio yao? Kwani CDM wangeshinda wewe uliye Moshi usingechekelea. Komaa kisiasa wewe!
 
Wana JF nimeshindwa kuelewa kwamba sherehe kubwa imekuja kufanywa Dar badala ya Igunga .Pia CCM wana Wabunge 200 plus bado wanazunguka kuandamana juu ya wiz wa Igunga .Can anyone tell me kuna siri gani hapa Mmemsikia Nape akibwabwaja na wajinga wenzake eti Upinzani na kumwaga damu .Jamani hayo mambo yamkaaje? Umemsikia Mchemba anasema Chadema wasingaliweza kupata kura hata 1000 bila ya kusaidiwa na Tume kweli hao waalimu ni 23,000 hapo Igunga ? Hii imekaaje ?

ni dalili za mapema kabisa wanazoonyeshwa wana iginga kama ishara ya kuwakomoa kwa kile walichofanya-kuwanyima ccm land slide victory. Wamekwisha!
 
Katika hali ya kushangaza wanaJF wenzangu eti kwny ule uchaguzi uliofanyika Igunga na Magamba kushinda kwa kushindwa,, wakaanza kupita mitaani huku Moshi kusheherekea na kutoa maneno ya kebehi kwa wapinzani wao i mean CDM,,sasa ushindi wao huko kwa wananchi ambao bado hawajafunguliwa kiakili ndo wanakuja kushangilia huku kwetu ambako CCM imezikwa milele na itakaa iinuke tena. Mimi naona ni kujipa moyo tuu maana Moshi imeelimika sana ndo maana sisi hatudanganyiki kabisa. !!! Nawasilisha wadau.

Pia jimbo lilishikiliwa na upinzani linashikilia East Africa kwa usafi
 
Back
Top Bottom