Hii imekaaje toka Igunga kusanyiko Dar?

Nilidhani kulikuwa na vyama 8 vilivyoshiriki kaika uchaguzi wa Igunga kama ni hivyo inakuwaje CCM inaitaja Chadema pekee kila kukicha au ni kukiri kuwa kiliwahenyesha?

Inaonyesha hata kwenye ndoto zao wametawaliwa na cdm, kwani atakua mbabe wao soon
 
Kuipa ccm kura yako ni sawa na kumfungia mwanao chumba kimoja na chui na sio chui tu chui mkali kwahiyo wanaigunga kazi mnayo miaka hii mi4 iliyobaki
 
Kuipa ccm kura yako ni sawa na kumfungia mwanao chumba kimoja na chui na sio chui tu chui mkali kwahiyo wanaigunga kazi mnayo miaka hii mi4 iliyobaki
wana igunga walichagua kwa hiyari... sasa wale zile kura zao kama zinaweza kutoa supu

walinikera sana
 
kichwa cha nazi hivi duu ....... 179393_190098424352274_100000563535764_637474_787917_a.jpg
 
Wanasemaga ukiona Manyoya Ujue MWEWE kamaliza kazi yake kuku kwishni.

Lets Wana Igunga read the number. Hakuna rangi wataacha kuona. Lets wait and see.
 
Hili ni tusi jingine kwa wanaigunga, jamaa wamepata chao, wanaigunga wamebaki na typhoid ya maji machafu na unajisi wa zinaa za wanasiasa,
ndo hivyo tena, maumivu hadi 2015! Dr Kafumu ni mkazi wa Dar ni haki kupokelewa kwake,kwani mchumia juani...
 
Igunga walishapewa pilau yao na pombe saivi ni zamu ya maeneo mengine.
Kaeni mkao wa kula.Watu wote lazima mpate pilau.
CCM YAJENGA NCHI.
kusema kweli haya yanatokea tanzania tu na mungu alipowaumba waisraeli wenye akili na watu serious baadaye akatuumba sisi watanzania wajinga na wasiokuwa na kumbukumbu hata ccm nao ni wa ajabu nawashangaa waliokusanyika kumsiliza dr.kafumu kwani anawahusu nini dr. mzima anakubali kufanya mambo ya ajabu kama hili sijui
 
Igunga walishapewa pilau yao na pombe saivi ni zamu ya maeneo mengine.<br>
Kaeni mkao wa kula.Watu wote lazima mpate pilau.<br>
CCM YAJENGA NCHI.
&nbsp;kusema kweli haya yanatokea tanzania tu na mungu alipowaumba waisraeli wenye akili na watu serious baadaye akatuumba sisi watanzania wajinga na wasiokuwa na kumbukumbu hata ccm nao ni wa ajabu nawashangaa waliokusanyika kumsiliza dr.kafumu kwani anawahusu nini dr. mzima anakubali kufanya mambo ya ajabu kama hili sijui&nbsp;
 
Jamani kwani kule sherehe za kofia na tshet pamoja na pombe si zilishafanywa! Au mnataka masagamba wakafanye sherehe gani tena, hawa ndo imeshakula kwao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom