Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Yaani tangazo la kazi limetoka, umetuma maombi, after a month and more umepigiwa simu uende kwenye interview, umefanikiwa kwenda, baada ya interview wamekupenda na wamekupa kazi na inbrief baadhi ya vipengele vile muhimu m-meshakubaliana, na umeambiwa subiri ticket yako ndani ya siku 2 tutakupigia.
Halafu baada ya siku 2 hawajapiga...unakuwa mpole na inakaribia wiki bado hawajakuita....so ni sahihi kuwapigia simu kuwaulizia wamefikia wapi au ni sahihi kwenda ofisi zao kuulizia?? Manake isije kuonekana una kiherehere cha kazi ikawa taabu!!
Mshkaji wangu anaulizia hii imekaaje...nikamwambia subiri niende jamvini kwanza!!