Hii imekaaje maswahiba wawili JK na Ngeleja Malawi hapa kuna wakujiuzulu?

Jan 16, 2007
721
176
1.jpg Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: JK Atua Blantyre Kushiriki Maziko Ya Bingu Wa Mutharika
 
Hii picha ni ya siku nyingi kidogo, ilipigwa siku ya kuzindua CSR kwenye sector ya madini/mafuta kama sikosei.
 
Whaaaaat? Is this photo really? What the hell is Ngeleja doing in Malawi?Why him?Damn it!
 
hakuna utash wa kisiasa, vasco da gama hana machungu na matatizo ya watz, cc wenyewe tutafute njia muafaka ya kutoka kwenye makucha makali ya CHAMA CHA MAGAMBA (CCM)
 
JF bwana hii picha ni ya muda
tunajua yuko malawi
kesho ndio kesho upepo hautapita bali utaangusha jengo la bunge
 
Itakuwa ameenda mumbembeleza ajiuzulu. Nakumbuka Mh.Mkapa alishafanyaga hivi na waziri wake mwenye kashfa (Nafikiri alikuwa Idd Simba) akaenda naye Msumbiji, waljporudi ziara hiyo akaachia ngazi.
 
Haikuwa sahihi kutumia picha hiyo bila maelezo ya kutosha. Picha haihusiani na habari ya Safari ya Malawi.
 
Hii picha ni ya siku nyingi kidogo, ilipigwa siku ya kuzindua CSR kwenye sector ya madini/mafuta kama sikosei.

Kama kweli picha ni ya zamani basi habari hii ina upotoshaji na inapoteza hadhi ya JF. Tuleteeni habari za kweli kulinda hadhi ya jukwaa.
 
Back
Top Bottom