hii imekaa je

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,734
Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku kubeba mazao ya walala hoi, Dini sadaka nazo juu hawataki salafu wanataka noti tu, Mahari nazo hatari unapigiwa hesabu kuanzia mimba hadi shule. Chadema wakiomba mkutano mpaka damu imwagike, hivi CCM itatuhujumu mpaka lini? rate ya dola nayo haisemeki. ada ya shule ipo juu utadhani unanunua shule! sasa hii ndo maisha bora kwa kila Mtanzania...
 
\\\naona imekaa chongo kwa serikali hii isiyo na mwelekeo mzuri ambao unaonekana mwanzoni kabisa mwa term ya pili ya mwisho ya kulala usingizi mzito. sijui mwaka ukiisha itakuwaje?
 
we komaaa 2 kama wanabana na wewe tafuta namna ya kukwepa kulipa kodi na endelea kutoa na kupokea rushwa hii ndo tanzania kaka kaz kwako kwan hukumsikia rais anasema ukitaka kula lazma uliwe na unatakiwa kuwa mbayuwayu chukuwa za wenzio changanya na zako sasa tatizo lipo wap kula rushwa 2uu dogo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom