Hii iko vp?

nyamakonge

JF-Expert Member
May 28, 2013
363
130
wanafunzi wa kdato cha 4 waloftiwa matokeo yao watarudishiwa fedha zao walzotumia as application fee ktka fan mblmbal za afya?zsiporudshwa znaenda wap?au watapewa 2nd chance ya kuapply kwa ktumia hyo fedha?naomba kuwaklisha wakuu
 
kitarudi tu kwani baada ya matokeo kufutwa kila kitu kitakuwa na mabadiliko usihofu wewe subiri
 
Mkuu mbna matokeo yamefutwa tangu zaman?lkn hakuna jpya.

Hakuna jipya kwani matokeo mapya si bado hivyo hata wao wanasubiri hilo hawawezi kuwa na majibu kabla ya matokeo mapya. kuanzia hapo watatoa maelezo ya jinsi ya kuomba upya na kwa watu ambao walishatuma pia watatoa maelezo kuhusu hili wewe usiwe na wasiwasi kwa hilo.
 
wanafunzi wa kdato cha 4 waloftiwa matokeo yao watarudishiwa fedha zao walzotumia as application fee ktka fan mblmbal za afya?zsiporudshwa znaenda wap?au watapewa 2nd chance ya kuapply kwa ktumia hyo fedha?naomba kuwaklisha wakuu

hapo unaweza ukaapply hiyo fom online then unajaza au kutakuwa na utaratibu maalum walioandaa kwa kuhusu fedha sahau kurudishwa.!!!!!!
 
hapo unaweza ukaapply hiyo fom online then unajaza au kutakuwa na utaratibu maalum walioandaa kwa kuhusu fedha sahau kurudishwa.!!!!!!
 
Back
Top Bottom