Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,823
Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana.
1.AXE
2.twitter X
3.1Xbet

Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
 
6fd86de2a32864e30a474308487ca14a.jpg
 
Kwa upande wangu haina maana yoyote.

Nijuavyo Malcolm X baadae alipobadili dini akiwa Malik Shabaz. Alizaliwa kama Malcolm Little, na alilidondosha jina la "little" kwa sababu alisema lilikuwa la kitumwa.

Kuhusu bingwa wa sasa Elon Musk alipoulizwa kwanini X? Akajibu siku nyingi niliona kuwa url nzuri. X.


Wengine wainahusisha X na hatari.


Kwa upande wangu haina cha maana zidi ya kuwa ni 'symbol" na herufi tu, na italeta maana zaidi kwa yule anaeitumia kama "symbol".
 
Back
Top Bottom