Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,836
5,832
Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.

A5615B77-AF50-48B6-AF54-9ABFDF5B31D9.jpeg
 
Pole sana mleta uzi, usitegemee kugombanisha kwako Mkude na mashabiki kutakulipa. Wana Yanga wana focus mbele, huyo Mkude hata kama kuna maelekezo kayatoa hakukuwa na mawasiliano ya Mkude na mchezaji yeyote yule wa Simba hata kwa ishara. Bado wana Yanga wapo katika mshikamano ule ule jana bahati haikuwa kwa Yanga.
 
Back
Top Bottom