Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,956
Wewe ulichukua hatua Gani ya kumsaidia mtoto kabla ya Kuandika huku?
Nimewapigia LATRA wanashughulikia na wamesena watanipa mrejesho nitaleta hapaKuna watu wanazitafutaga laana kizembe sana. Asipomalizana na huyo Malaika litamkuta jambo hataamini.
HILI SIO DUA LA KUKU.
mkuu nimewapigia LATRA wanashughulikia wamesema watanipa feedback Leo hiii hiii nitawajulishaIfikie hatua sisi wazazi tuwe tunawawajibisha hawa mafedhuli kwa kuwaonea hasa wanafunzi. Kuna makondakta na madereva ni wapumbavu mno! Ila kuna makondakta na madereva ni waungwana mno kwa watoto wa shule
mkuu naona unaongea kimuhemko tu mi Niko ndani ya gari mwanafunzi na konda wake nje ni kitu Cha dk 2 tumegombna sana na konda mbaka nafika mhimbili sasa unaniambia ningeandika jina la mwanafunzi na shule seriuz na gari imejaa full kibaya zaidi lile tukio ni watu watatu ndio tumeona tumepga kelele lkn wapi mkuu.Kwanza ulitakiwa kumtambua huyo binti jina lake na mahali anaposoma kisha ukaleta mada humu lazima kuna wakubwa humu wangeweza kuchukua hatua kwa hiyo daladala sasa kama huyo mwanafunzi humjui ushahidi unakuwa mgumu kupatikana na konda anaweza kukugeuzia kibao wewe uliyeshitaki
upo sahihi kabisa usemayoWakati huyo mtoto anazozana na kondakta hadi analia ndo pale ilitakiwa na nyie mteremke na msimruhusu kondakta arudi kwenye gari hadi arudishe chenji ya dogo
Hapo wa hovyo siyo kondakta tu ni hadi nyie watu wazima mliokua mmejazana kwenye hiyo gari ni watu wa hovyo na hamna msaada wowote.
sasa mpaka hapa mpumbavu ni wewe,kwanza ulitakiwa uchukue hatua hapohapo kisha ukileta hapa tujue ni namna gani tusaidie mfano palepale tulivyoona dogo anadhulumiwa tukaita trafiki tukachukuliwa hadi kituo cha polisi na polisi wametuambia ivi je hapa tutapataje haki ya mwanafunzi ndio hapo sasa wanatokea wadau kusaidia,sasa wewe mwenyewe uliyekuwa kwenye tukio hujachukua hatua sasa sie tuchukue hatua ganimkuu naona unaongea kimuhemko tu mi Niko ndani ya gari mwanafunzi na konda wake nje ni kitu Cha dk 2 tumegombna sana na konda mbaka nafika mhimbili sasa unaniambia ningeandika jina la mwanafunzi na shule seriuz na gari imejaa full kibaya zaidi lile tukio ni watu watatu ndio tumeona tumepga kelele lkn wapi mkuu.
mkuu we sidhani kama unatofauti na konda hiyo ishu tumeona watu wa 3 mi ndio mwanaume pekeangu tukapiga kelele sana jamaa Hana time chombo imeondoka speed Kali jamaa nimemaindi mbaka nafika mhimbili kumbuka gari ya mhimbili asilimia kubwa waliopo mle wagonjwa na wanawake asilimia kubwa wamebeba uji kupeleka hosp sasa ufikiri Kila mtu anataka kelele mbaka nafika nashuka jamaa sikuwa na support ndio maana nimetuma hapa nakuwapigia LATRA sasa Kila mtu anaweza mambo ya ubabe kupgana wengne hatuko hivyo mkuu.Safi sana mkuu umejibia hoja hii vema,watanzania hasa hawa middle class ni waoga wa kutake action,waoga wa push back na mashujaa wa kulalama humu,why wewe mtoa hoja hukusimama kidete kupinga unyanyasaji huu wa mtoto huyu,why hukujitolea na kumwambia konda kurudisha ile 500 tsh.halafu wewe umpe konda?,konda mmoja anasumbua wanaume zaidi ya 10 waliokuwemo kwenye daladala hiyo,sasa umetuwekea picha ya daladala ili iweje?
mkuu gari nzima nilikuwa nawaka pekeangu mama mmoja alianza mwisho akatulia na gari ilijaa sana wengi ile ishu hawakuona.Ningekua mim mchiz bot konda akistafuuu kazi papo hapo..........
Niligombana sana na konda nimewapigia LATRA kabla sijaandika hapa jfWewe ulichukua hatua Gani ya kumsaidia mtoto kabla ya Kuandika huku?
Umefanya jambo jema. Endeleza ulipoishia kwa kuwasilisha taarifa hii katika mamlakaGari ni ya Mabibo to Muhimbili na nimepga picha namba ya gari hapo chini na nipo tayari kwa ushahidi kama watagoma.
Daladala zote mjini hapa zinataka mwanafunzi apande na 200 huna usipande maana wanadai wanafunzi wanamalizia sana chenji na ukizingatia chenji zimekua hadimu mno mtaaniHabari za asubuhi,
Kiukweli leo asubuhi tar 20/3/2024 nilitoka Mabibo kuelekea Muhimbili kwa usafiri wa daladala, tulipofika hapa Kigogo Roundabout ya Ilala na Magomeni, kuna mwanafunzi alishuka ni mdogo miaka kama 6 au 7 alimpa kondaka nadhani miaka 500/=. Kumbe makondakta wanataka uingie ukiwa na miambili kamili. Yule kondakta akamwambia huwa tunawaambia muwe na chenji kamili akagoma kumrudishia
Kelele kale katoto ni kabinti kamemlilia konda, jamaa akaingia kwenye gari dereva naye haraka amewasha gari na kuondoka. Tulipiga kelele na kumlaumu kondakta asimamishe akate nauli zetu ikawa hakuna namna
Binafsi ingelikuwa ni mtu mzima kwangu haikuwa shida sana ila kwa mwanafunzi tena Binti mdogo nadhani darasa la kwanza nimeumia sana
Gari ni ya Mabibo to Muhimbili na nimepga picha namba ya gari hapo chini na nipo tayari kwa ushahidi kama watagoma.
Mwanaume mzima mtoto anaonewa na wavuta bhange unaleta hapa uhalo wako basi zima mlikuwemo mapoyoyo tuHabari za asubuhi,
Kiukweli leo asubuhi tar 20/3/2024 nilitoka Mabibo kuelekea Muhimbili kwa usafiri wa daladala, tulipofika hapa Kigogo Roundabout ya Ilala na Magomeni, kuna mwanafunzi alishuka ni mdogo miaka kama 6 au 7 alimpa kondaka nadhani miaka 500/=. Kumbe makondakta wanataka uingie ukiwa na miambili kamili. Yule kondakta akamwambia huwa tunawaambia muwe na chenji kamili akagoma kumrudishia
Kelele kale katoto ni kabinti kamemlilia konda, jamaa akaingia kwenye gari dereva naye haraka amewasha gari na kuondoka. Tulipiga kelele na kumlaumu kondakta asimamishe akate nauli zetu ikawa hakuna namna
Binafsi ingelikuwa ni mtu mzima kwangu haikuwa shida sana ila kwa mwanafunzi tena Binti mdogo nadhani darasa la kwanza nimeumia sana
Gari ni ya Mabibo to Muhimbili na nimepga picha namba ya gari hapo chini na nipo tayari kwa ushahidi kama watagoma.