Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.

Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.

Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.

Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.

Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.

Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu

Amen.

So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea

Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Misafara isiyo na tija, haki za wananchi zinapokwa kwa kuwaendekeza wanaoitwa viongozi. Kupotezeana muda tu.
 
Hii daladala iliyotaka kuleta akali iadhibiwe haina adabu😇😇😇😇.Daladala inakuwaje na adabu?
 
Back
Top Bottom