Hii baridi hapa Arusha hapana!!!

Waungwana hii winter ya leo na haka kamvua kanakonyesha ni hatari.
Hapa nilipo nimevaa boshori, bonge ya sweta , jinsi , chini nina soksi za sufu yote nikatika kujihami na hii baridi.

Ili baridi isizidi piga kisusio na siminof na wakina Preta ukae nao karibu mpige story za hapa na pale
 
we nenda hapo nguru doto au 77 counter waambie wakupatiye hiyo kitu weka barafu tu... lakini uwe umegonga katrupa
Jomba ulipita Arusha lini mara ya mwisho? kwa kukukadiria haiwezi kuwa zaidi ya 2005 maana unaongea mambo ya kale! Ni Sminnorf gani utapata 77 Hotel?
 
Back
Top Bottom