Hii baridi hapa Arusha hapana!!!

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
37,444
25,591
Waungwana hii winter ya leo na haka kamvua kanakonyesha ni hatari.
Hapa nilipo nimevaa boshori, bonge ya sweta , jinsi , chini nina soksi za sufu yote nikatika kujihami na hii baridi.
 
Mi nmevaa shati tu ya office na sarawili ya kitambaa. Muda huu nipo Sekei "Big Y naendelea kupata konyagi, wakati naishi Olasiti, cn u imagine?. Ukpg zle ndogo 2 baridi utaiskia kwa meza ya jirani.
 
Umesahau kitimoto mkuu.. ukipiga hiyo baridi inakuwa joto.
 
Nakuja huko kesho na pw (precisionair) ya asubuhi then naenda kwenye mbuzi choma pale kwa morombo anyone interest tupige na bapa kadhaa welkam i will settle the bills niwape na story za leo hapa dar kuhusu m4c kwani nimehudhuria at the max level.
 
Aisee..kumbe ulikuwa dar..
 
Mi nmevaa shati tu ya office na sarawili ya kitambaa. Muda huu nipo Sekei "Big Y naendelea kupata konyagi, wakati naishi Olasiti, cn u imagine?. Ukpg zle ndogo 2 baridi utaiskia kwa meza ya jirani.

nilikuona ulivyovaa.....ulitoka bomba sana.....
 
Back
Top Bottom