Hi imekaaje?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Leo asubuhi mazungumzo yanayo gonga vichwa vya habari katika kona mbalimbali za jiji la arusha,vijana wengi wanapendekeza chadema imwombe mke wa Godless lema agombee.wanajamvi mnasemaje kuhusu hilo?.
 
Chadema iko makini itavuka salama ktk hili na itaendelea kukalia jimbo.
 
Back
Top Bottom