Hezbollah yasema Lengo la Hamas lilikuwa ni kuiambia Dunia kuwa IDF si lolote wala Chochote, na Wamelitimiza!

Sasa mbona wanalia lia wakati IDF majuzi llipokula kichwa cha kiongozi wao wa Hamas aliyekuwa kakimbia mapambano, yaani alikuwa anaongoza HAMAS remotely, watu wakala kichwa huko huko Beirut - Lebanon dadeq.

1704440445060.png

The funeral of Hamas deputy chief Saleh al-Arouri, who was assassinated by an Israeli drone attack this week in Beirut
 
inachekesha kweli kweli yaan watoto na wanawake wanakufa kwa sabab ya mpumbavu mmoja alitaka kuonesha Dunia kua IDF ni zaifu

sijawai kuona jeshi la kipumbavu kama Hamas maana majeshi yote kazi ya kwanza kwenye kiapo ni kulinda watu wake na mipaka ila Hawa wajinga watoto na wanawake sadaka ya damu ili kuonesha Dunia
 
hawa wahuni wanatanguliza wanawake na watoto kama chambo - hamna jeshi humo mkuu.
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
Wana akili nyingi hao hamas, kuwatoa muhanga wenzao 22000 wafe ili kuwaambia mayahudi kwamba IDF si lolote si chochote ni ushujaa.
 
GAZA MPYA BAADA YA VITA.

Israeli Defence Minister Yoav Gallant has outlined proposals for the future governance of Gaza once the war between Israel and Hamas is over.

There would, he said, be limited Palestinian rule in the territory.
Hamas would no longer control Gaza and Israel would retain overall security control, he added.
 
Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%
ndio wafanye upumbavu huo kwa gharama ya damu za watoto na wazee? then wakishauambia ulimwengu kuhusu udhaifu wa IDF kinachofuata ni nini? pimblishi kabisa
 
Huyo anawapumbaza wajinga wenzie huko misikitini , utasikia majinga tabkbr, wakati gaza inakuwa zero ground.
Sawa ni dhaifu, hlio jeshi dhaifu liko viungani mwa gaza au halipo?
Mbona wanalia vita isimamishweeee, watu wanauliwaaaa, siuji watotooo. Unawezaje kukimbia na kuvua sare za vita kwa jeshi dhaifu? Maficho yao yamefumuliwa sasa wanavizia kiraia.
Taarfa iliyopo Gaza itakaliwa miaka yote na haitakuwa chini ya hamas, ama wakitaka watasaini mkataba kama wenzao wamisri na joldan.
baada ya hapo ni huko Lebanon.
Anatumia akili za madrasa kuwashika wana madrasa wenzake.
 
inachekesha kweli kweli yaan watoto na wanawake wanakufa kwa sabab ya mpumbavu mmoja alitaka kuonesha Dunia kua IDF ni zaifu

sijawai kuona jeshi la kipumbavu kama Hamas maana majeshi yote kazi ya kwanza kwenye kiapo ni kulinda watu wake na mipaka ila Hawa wajinga watoto na wanawake sadaka ya damu ili kuonesha Dunia
Shetani aliyesilimishwa na muddy alikuwa anataka damu za watu ndio maana kawadanganya wafanye hivyo na atawapa mabikira 70 wenye macho ya gololi. Mapumbavu kabisa haya majitu.
 
ndio wafanye upumbavu huo kwa gharama ya damu za watoto na wazee? then wakishauambia ulimwengu kuhusu udhaifu wa IDF kinachofuata ni nini? pimblishi kabisa
Nadhani anamaanisha lengo la 7 October tu!
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak 😄
Hakika wameitimiza lengo na mwendo wameumaliza, sasa Dunia iingilie kati kunusuru waliobaki mle, make walitaka kuiambia Iran na makundi yake nguvu ya IDF kwamba waongeze uwezo kifedha na kimbinu IDF ni nyuki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
You are wrong bro, kazi ya jeshi ni kulinda raia.
Fikilia jeshi letu la Tanzania liende kuchokoza Kenya huko harafu waje wajifiche nyuma ya sisi raia na matokeo yake sisi raia tuangamie kwa maelfu na wanajeshi wabaki. Kama hamas wenyewe hawajari laia wao nani atawajali hao raia?
Hamas siyo jeshi
 
These are arming techniques broo,
Huwa zipo sana,kikubwa umuwini mshkaji.

Jiulize kwann ukiwa mpelelezi unaweza ku act kama chizi tena zaidi ya miaka,hizi ni mbinu tu.
ila ukweli utabaki kwamba IDF si kubwa kama vile ambavyo inaogopwa.
Kama IDF si kubwa kama usemavyo ebu ingia vitani nao ili tukuone, make huyo bwana mkuu wa hezzbolah uwa aonekani hadharani unajua ni wanini? hotuba anatoa akiwa chini ya handaki kwanini?? mwambie atoke nje kama akina Netanyau bwana acheni maigizo wakati mnaogopa IDF
 
Mbona unapanik ndugu??
Kwani tuko vitani?
 
GAZA MPYA BAADA YA VITA.

Israeli Defence Minister Yoav Gallant has outlined proposals for the future governance of Gaza once the war between Israel and Hamas is over.

There would, he said, be limited Palestinian rule in the territory.
Hamas would no longer control Gaza and Israel would retain overall security control, he added.
Imeisha hiyo!
 
Kama IDF si kubwa kama usemavyo ebu ingia vitani nao ili tukuone, make huyo bwana mkuu wa hezzbolah uwa aonekani hadharani unajua ni wanini? hotuba anatoa akiwa chini ya handaki kwanini?? mwambie atoke nje kama akina Netanyau bwana acheni maigizo wakati mnaogopa IDF
Alafu kumbuka hamas sio jeshi broo.
 
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amesema kwa muda mrefu Dunia imekuwa ikidanganywa kuwa Israel ndio Yenye Jeshi Bora kuliko yote Duniani na hivyo Dunia nzima iliishi ikiwaogopa sana Wayahudi

Lengo kuu la Hamas lilikuwa ni kuonyesha Dunia nzima kwamba Israel ni Waongo na IDF ni Jeshi Dogo kama mengine huko Africa

Pili, Hamas walitaka kuwafumbua macho Wayahudi wote juu ya udhaifu wa Serikali yao na Jeshi lao Ili wasiendelee kudanganywa

Hezbollah wamesema Hamas wametimiza malengo yote mawili kwa 100%

Source Al jazeera news

Jumaa Mubarak
Kwa hilo Hamas wamefanikiwa kwa 200% IDF ni Wanamgamno waliochangamka
IMG_20240101_212305.jpg
IMG_20231227_225021.jpg
 
Back
Top Bottom