Hey chit-chat, I'm back again!!

we charminglady, nakumbuka mara ya mwisho nimekuacha na mtoto six, huyu C6 nae vp tena, au una kaugonjwa ka sita kwa sita!?? nieleweshe, la sivyo na mimi ntajiita pombekali no.6 nikupate!! teh tih toh!!!

Ndo mwenyewe kaona mtoto hainogi so kachange kajiita c according to mapenz c inasemekana inastand for charming sasa sijajua kama ni nimekumbuka sawa au laa.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndio kwani vipi?

Umepona?
Dah nilipona muda fulani ila nimejifanya mjuaji nimeurudisha ugonjwa hapa nataka ikifika saa mbili na robo niwe naota niko na Kipipi lol yan nauchapa usingizi muda si mrefu
 
Last edited by a moderator:
Kifua kikubwa cha nini sasa kwani anakuja kupigana na mimi?
Acha majungu aisee mbona ushaanza tabia za Mr Rocky ?

kifua kikubwa si cha kupumzikia wewe, afu nimepita kwenye uzi flani wakakuongelea kuhusu Mwanza, hivi ilikuwaje??
 
Last edited by a moderator:
Kaku touch eeeh!!! kwi kwi kwi!
Kuna watu nimenza kuwaandalia ban tayari nawalamba soon we ngoja muone!
Najua mnajijua wewe na wenzako shauri yenu ntawajaza stress hadi mjiju ila Kipipi ntamsamehe na kudili na madume tu
 
Last edited by a moderator:
kifua kikubwa si cha kupumzikia wewe, afu nimepita kwenye uzi flani wakakuongelea kuhusu Mwanza, hivi ilikuwaje??
Hahahahahaaaaaaaaa dah usinikumbushe aisee lol
Mwanza Mwanza Mwanza.....Chuga Chuga Chuga
Dah
 
Dah nilipona muda fulani ila nimejifanya mjuaji nimeurudisha ugonjwa hapa nataka ikifika saa mbili na robo niwe naota niko na Kipipi lol yan nauchapa usingizi muda si mrefu

Wewe . . . ulibugia ulabu eeh??
Hujipendi wewe!

Haya ukiota ota salama . . . ila angalia usiote pembe la tatu kutoka juu kwenda chini!! LOL
 
Welcome back !
(hii haileti maana karibu nyuma!?)
ina utata hii , mi nitumie
welcome again! Afu kuna fununu ulikua kisiwani Zimbabwe karibu na Pemba ni kweli?
 
Dah nilipona muda fulani ila nimejifanya mjuaji nimeurudisha ugonjwa hapa nataka ikifika saa mbili na robo niwe naota niko na Kipipi lol yan nauchapa usingizi muda si mrefu

Ndo maana nimesema Ciello ajifunze kuwa na kifua kikubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom