Hey chit-chat, I'm back again!!

Welcome back !
(hii haileti maana karibu nyuma!?)
ina utata hii , mi nitumie
welcome again! Afu kuna fununu ulikua kisiwani Zimbabwe karibu na Pemba ni kweli?

Mkuu Judgement, nilipitia visiwa vya zimbabwe nikaona makumbushn yao, yako poa sana toka ONE NINETEEN SIXTY FOUR!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mwenyewe kaona mtoto hainogi so kachange kajiita c according to mapenz c inasemekana inastand for charming sasa sijajua kama ni nimekumbuka sawa au laa.

ahsante sana beibe nasty kwa kunijulisha, that was an eye opener, ila kweli kuna watu wanajua kupenda, hadi kubadili jina, akikolezwa zaidi huyo C6 nahisi atabadili hadi kabila
 
Last edited by a moderator:
Pombekali unamtaka cielo ? Sema nikuachie maana naona unataka kuniharibia....mi sina shida nakuachia nahamia zangu rasmi kwa Kipipi

Heh! mara hii na mara hii, inakuwaje unawapata kirahisi hivyo ilhali tabia zako wewe na Bishanga zinafahamika hapa,!?? isije ikawa unatumia cheo ulichopewa na mkuu Baba V, kama dhamana ya matakwa yako.. ntam consult Baba V
 
Last edited by a moderator:
we charminglady, nakumbuka mara ya mwisho nimekuacha na mtoto six, huyu C6 nae vp tena, au una kaugonjwa ka sita kwa sita!?? nieleweshe, la sivyo na mimi ntajiita pombekali no.6 nikupate!! teh tih toh!!!

Pombekali ngoja nkwambie. C6 baada ya kunioa aliamua kuchange jina toka mtotosix na kuwa C6. na aliomba wazo kwa wadau kuwa ajiite..walimpa majina kadhaa ila mwisho wa sik tuliamua ajiite C6 kuienz heruf ya jina langu
 
Last edited by a moderator:
Chinekeee . . . . .

alokwambia uedit post yangu nani??
wallah utanikoma . . . . kesho tu nakuwa mod!!
Heheheheeee Kipipi ukipewa Umod mi naachana na UMOD kabisa bora niwe memba wa kawaida aisee maana hatutaweza kufanya kazi pamoja lol au bora niendelee kufanya kazi kwa kutokea huku kama siku zote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom