Hey chit-chat, I'm back again!!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Ni aje wadau wa jamvi hili, ni kamuda kidogo nilipotea sio tu chit chat bali JF kwa ujumla, nipeni yaliyojiri katika miezi hii mitatu of my absence, lete habari@Kaizer Mr Rocky Erickb52, kaka mkubwa Baba V Arushaone, Mamndenyi, Mtambuzi, cacico, gfsonwin, Bishanga, ruttashoborwa, Judgement, C6, charminglady, sweetlady, Preta, zomba, Katavi, Arabela, Ruhazwe JR LUNDENGA, BadiliTabia, Amyner, The secretary, Boflo, nyumbakubwa, snowhite, Safari_ni_Safari, Mkirua, na wengineo, naona kuna sura ngeni kibaaao, kuna sura kama Ritz, PakaJimmy, Filipo zimekimbia nini kule jukwaa la siasa, !???? I like it here, happy to be back!! pamoja saaaaana my people!
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkuu tulikumiss sana ila toa taarifa ulikuwa msitu wa Pande au ulikuwa BANNED Pombekali?
 
Last edited by a moderator:
Ni aje wadau wa jamvi hili, ni kamuda kidogo nilipotea sio tu chit chat bali JF kwa ujumla, nipeni yaliyojiri katika miezi hii mitatu of my absence, lete habari@Kaizer Mr Rocky Erickb52, kaka mkubwa Baba V Arushaone, Mamndenyi, Mtambuzi, cacico, gfsonwin, Bishanga, ruttashoborwa, Judgement, C6, charminglady, sweetlady, Preta, zomba, Katavi, Arabela, Ruhazwe JR LUNDENGA, BadiliTabia, Amyner, The secretary, Boflo, nyumbakubwa, snowhite, Safari_ni_Safari, Mkirua, na wengineo, naona kuna sura ngeni kibaaao, kuna sura kama Ritz, PakaJimmy, Filipo zimekimbia nini kule jukwaa la siasa, !???? I like it here, happy to be back!! pamoja saaaaana my people!
Kijana karibu sana Aisee.....si tupo Kama kawa na Akins cielo wetu
 
welcom back jipya ni uwepo wa memberz wapya ka mie umemis mengi lol
 
Last edited by a moderator:
Bwana mdogo Pombekali karibu sana,ila uje na faini,kamati niliyowakabidhi wewe na Kaizer imepwaya sana katika utekelezaji wa majukumu yake,karibu sana
 
Last edited by a moderator:
karibu sana mkuu Pombekali, umenifurahishajee thatha yan umemtaja kipenzi C6 thn ukantaja. . . nafurahijeee!!!!!! mic saaana

we charminglady, nakumbuka mara ya mwisho nimekuacha na mtoto six, huyu C6 nae vp tena, au una kaugonjwa ka sita kwa sita!?? nieleweshe, la sivyo na mimi ntajiita pombekali no.6 nikupate!! teh tih toh!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmmh basi ninavyomjua shem wangu mie erick b52 atakua hatulii hapa jf haya mwaego cielo mi ndo mke wa jg na nilikua biz kidogo bt hakijaharibika kitu ila we pombe kali ulikua wapi jaman masiku tele
 
Back
Top Bottom