Heslb

Itug

Senior Member
Mar 19, 2011
195
68
Nisaidieni ndugu, bodi inampango gani na first year? mwenye tetesi ansaidie
 
Tutapata vidonda vya tumbo kwa ajili ya kuiwazia 'Heslb'siku zinaenda tu sijajua mwaka jana walitoa majina tarehe ngap?jaman mwenye tetesi atusaidieeee
 
Aisee tunapeana preaha, nikiona thread mpya inayo husu HESLB lazima nopitie website yao ndo nije kuchangia mada
 
hawa jamaa kweli kwa mwaka huu wameringa vilivyo mpaka sasa kimya

TCU ndo chanzo cha yote haya na utaratibu wa computer wakati huo ujuzi wa computer wanaujua wachache wengine sisi ni mwendo wa kukosea kujaza tu
 
TCU ndo chanzo cha yote haya na utaratibu wa computer wakati huo ujuzi wa computer wanaujua wachache wengine sisi ni mwendo wa kukosea kujaza tu

ila kuhusiana na tcu si wameishamaliza Kazi Zao !! Na kama kawaida watu wote waliochaguliwa kwa 2nd round kujiunga na vyuo vikuu ndo Hivyo tena Hawapati Mkopo !! Kwa nini wasitoe Majina Ya waliochaguliwa kupitia 1st round application..
 
Kama unakumbuka kulikua na extension za applications mara kwa mara ndo ikapelekea jamaa kuchelewa kufanya uchaguzi wa 1st round pia wamechelewa peleka majina HESLB maana HESLB wao husubiri majina toka TCU ndio waanze sakata la Kugawa loa allocations. ila hakija haribika kitu wata kuja tu
 
ila kuhusiana na tcu si wameishamaliza Kazi Zao !! Na kama kawaida watu wote waliochaguliwa kwa 2nd round kujiunga na vyuo vikuu ndo Hivyo tena Hawapati Mkopo !! Kwa nini wasitoe Majina Ya waliochaguliwa kupitia 1st round application..

mkuu 2pe source kama kweli 2nd round wote hawatapata mkopo.
 
hii ndo Tanzania yenye machungu na wananchi wake,jinsi uumiavyo wewe ndivyo wenzio wanavyo sifia utawala wenye kujali raia wake na kupandishana vyeo
 
Ha ha ha ha ha!!!hapa ni zaidi ya muuza 'b' na mvutaji sisi tunaumia wao wanakenua meno jaman tunazidi kukonda labda 'kesho' labda 'kesho'tujipe moyo wakuu labda kesho nyingne...kesho labda kesho
 
uliza wale wanafunzi wa mwaka jana waliopangwa vyuo kwa kupitia 2nd round applctn

poa kaka mm ni 1st round lkn cjafurah coz najua sote 2nategemea mzee we2 helsb,bt 2nd round msikate tamaa mambo bado may be mwaka huu mambo ni tofauti.
 
Back
Top Bottom