HESLB wanamaanisha nn?

kama hujajisajili huwez kughairisha mwaka..maana chuo kinakuwa hakikutambui na baada ya muda flan kupita nafas yako inapotea...kwa hyo mwakan unaanza upya kufanya application
 
Registration huwa unatumia pesa yako mkuu den ukipata boom utarudishiwa gharama zako,kwahyo keep on waiting mkuu...
 
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi ushauri wako, asante kwa kukubal kupoteza mda na kukuna kichwa ukiwaza la kutushauri sisi wadogo zako. Asante tutazingatia ushauri wako
 
wakuu msiwe na hasira na heslb wao wanasubir kuletew majina kutoka nacte/tcu watatoa vip mkopo wakati bado wale wao taka kutransfer hawajamaliziwa process zao.yan mpk nacte/tcu wamalize mambo yao wapelek majina heslb ndo waanze kaz.

Kwahyo mkuu tarehe ya transfer kuwa tayari inaweza kudondokea wap? coz, 7 n mwisho kwa waafya, 10 n mwisho kwa hawa wengine, hapo mchakato c unaeza ukakamilika tarh 14
 
Kwahyo mkuu tarehe ya transfer kuwa tayari inaweza kudondokea wap? coz, 7 n mwisho kwa waafya, 10 n mwisho kwa hawa wengine, hapo mchakato c unaeza ukakamilika tarh 14

tulieni shule mtaenda mbona mnaharaka sana nyie vijana Wa jkt
 
da kweri maisha yanatofautiana wakati mwingine analilia viatu mwingine hata miguu hana.
jamani hiv si kunawatu hawajapata vyuo selection zinaendelea hv possible kutoa loan wakati TCU/NACTE wanaendelea kufanya selection?!!
 
sawa laki ya matumizi vp kuhusu ada maana hakuna usajili bila malipo ya ada na nitalipaje ada bila kujua ninakopeshwa sh ngap? do you think wangap wataweza kulipa ada yote
 
Back
Top Bottom