HESLB vs UDOM cont students

rayman m

Senior Member
Feb 6, 2012
120
27
Ebana nimepata tetesi kwamba cont students UDOM waliokuwa hawana loan wamepewa so naomba clarification juu ya hili nmeangalia web ya board hakuna.
Nawasilisha.
 
ebana hio ishu ipo lakini co kwa UDOM cjui cc wa UDOM imekuaje kwa sababu mpaka sasa watu wa UD na MUM wameshapangiwa mikopo kwa watu wa continue xa cjui inakuaje hapa dom, nasikia kuna ishu ya kuandika majina kwa loan oficerkisha yaambatanishwe na matokeo yapelekwe bodi ndo tupangiwe, hio ishu itafamyika kesho, lakini nimeongea na mwanangu mmja wa UD ameniambia wao walifanya hivo na walipanga kuyapeleka hayo majina juzi lakini kabla hayo majina kuyapeleka bodi leo wametoa majina ya watu waliopata xo cjui utaratibu unakuaje hapo.
 
thank u for your concern
 
pole bana hiyo heslb haina maana nasikia kuna board nyingine imeanzishwa maeneo ya k/koo fatiria
 
Back
Top Bottom