Wadau nisaidieni mi sioni list ya Heslb kwa wanafunzi wa SAUT, nilitegemea kuikuta list ya SAUT hapa kwenye list ya HESLB 4: 2012/13 Loans Allocations List 3-A (RU - SJ) badala yake kila nikifungua inakuja list sawa na hii ya hapa ya HESLB 3: 2012/13 Loans Allocations List 2-A . Ambaye ameona List ya SAUT anisaidie jamani.