Nkuruzinza
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 298
- 137
cpat picha izo hasira ulizokua nazoNipo mkoani aisee, yaani ningekuwa dar wangenitoa na security hapo ofisini
cpat picha izo hasira ulizokua nazoNipo mkoani aisee, yaani ningekuwa dar wangenitoa na security hapo ofisini
Daaah weee acha tuHizi serikali zetu hizi shida sana, wanasababisha watu waone kama kusoma ni adhabu flani hivi. Kama hawajakaa vizuri kuna ulazima gani kutoa majina nusunusu?
Poleni sana wadogo zangu
We muombe mungu wako unaemuamini akiamua upate atakusaidia utaupata tu no matter what na uamini piadaaah sasa n cc ambao tuna wazaz wote ila wakatengan n unasomeshwa n mzazi mmoja sasa apo itakuwaje n mzaz mwenyw hali n ngumu ndo kusoma tena bas au vip ? naomben mnisaidie
Daaaah sasa ukifika chuoni inakueje? Daaah hawa bodi vp?
Sijui sasa itakuaje ila life la bila mkopo mhhhhhDaaaah sasa ukifika chuoni inakueje? Daaah hawa bodi vp?
hapana si lazma imaanishe hivo bado kuna batch nyingii tuu*je kwa mtu ukisearch akakuta not allocated ** uyo ndo atafte plan B mapema au??
Aaaaaah!! Mwita ujapataa??Sijui sasa itakuaje ila life la bila mkopo mhhhhh
Usiwazee member utapataa..Sijui sasa itakuaje ila life la bila mkopo mhhhhh
Umepata kaushaa utakua notified soonYote yapo lakini mbele kuna masifuri 0 kaka inakuaje apo?
Mkuu 1st batch jina halipo labda tusubiri 2nd batchmsaada kwa namba S1934.0051.2012
Jamani msaada niangalizieni
SAIDI O.MAURID (chuo UDSM)
au MAURID SAIDI O
poa broMkuu 1st batch jina halipo labda tusubiri 2nd batch
cyo kila anaetaka mkopo anatamaa na anataman pesa za matumiz fred.... wengne wazaz wetu hawana uwezo na tukikosa mkopo kusoma ndo akupo kaka.... kuwa mstaarabu.. kupewavmimba kumeusikaje ndugu.....Pole sana mrembo, vumilia tu usije ukatiwa mimba na masharo kwa tamaa ya fedha za kugharamia chuo, almost pg zote zipo hivyo hivyo ila kunanjia nyingine ya kuingia ambayo itakwambia "u do not allocated in fist batch" so vumilia si unajua ladies pia wanapewa kipao mbele kuliko ma boys...
Mzee Kisaka wa majengo! you have secured the loan. Be prepared for clearing it soon after your course.Naomba mniangalizie uyu s0485/0447/2013