HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

1476605876823.png
utapata sehemu kama iyoo then unafungua applicant status
 
Heeeee ebu nifunguee upeooo apooo kjanaa unaangaliziaaa ap
Mweeeeeh
mtu akiandika neno then mbele anaongeza herufi mfano "NIFUNGUEEE" , "UPEOOOO" n.k na pia kutoa herufi kwenye maneno mfano "hapo-apo" , "wapi-api"... kwakweli kama ni mwanaume huwa ananipa mashaka sana...
 
kama ulikuwa unataka kuingia www.heslb.go.tz ingiaa soon coz iko open na ni available soon and you can check kama umepata mkopo au la kama umepata jina lako litakuja na shule yako ya olevel afu sehem za accomodation books na mengne watakuwa wamekujazia zero iyo it means umepata na wanakuwejea kiasi halisi soon but kama haujapata kwa hii awamu ya kwanza utapata tu ujumbe utakaokujulisha kwamba haujapata mkopo kwa first round....!!! ahsantenii.....

NAWASILISHA
*je kwa mtu ukisearch akakuta not allocated ** uyo ndo atafte plan B mapema au??
 
Wakubwa me mbona km nafel wakat wa kufuata zile procedure, nakwama eneo la kuretype yale maandish, kwa anaejua hatua zake mpaka mwsho, msaada pls?!!
 
Hizi serikali zetu hizi shida sana, wanasababisha watu waone kama kusoma ni adhabu flani hivi. Kama hawajakaa vizuri kuna ulazima gani kutoa majina nusunusu?

Poleni sana wadogo zangu
 
yangu ipo ivyo ivyo kama yako
Pole sana mrembo, vumilia tu usije ukatiwa mimba na masharo kwa tamaa ya fedha za kugharamia chuo, almost pg zote zipo hivyo hivyo ila kunanjia nyingine ya kuingia ambayo itakwambia "u do not allocated in fist batch" so vumilia si unajua ladies pia wanapewa kipao mbele kuliko ma boys...
 
wew ingia tu web y heslb moja kwa moja utakuta tangazo la kuangalia kam umepata mkopo kuna sehem wanakwambia click here ndo uingie hapo uingnze namba ako ya mtihani then direct itakuonesha status yako y loan,coz huko ukoinglia inzangua sana kuonesha kwamb umepata loan au la.
 
Nafungua profile yangu ya heslb naambiwa you did not allocated loan for this year 2016/2017.Nahisi kama nmechanganyikiwa hivi..
Furaha yangu ya kuchaguliwa chuo imetoweka sjui ata nitafanyaje yaani
Kesho jumatatu nawafuata hukohuko wakanieleze maana
Huu mchezo unahitaji hasira alafu nimeshaanza kupendaga ujinga!!!!!!!!


Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
mi nikibonyeza application status naambiwa ni print...... wamenichosha....
Link inayotumika kwa sasa ni ile pale juu iliyoandikwa First Year Loan Breakdown iliyopo pale juu unaingiza Index # ya F4.Jaribu hiyo itakuambiaje
OLAMS
 
Nafungua profile yangu ya heslb naambiwa you did not allocated loan for this year 2016/2017.Nahisi kama nmechanganyikiwa hivi..
Furaha yangu ya kuchaguliwa chuo imetoweka sjui ata nitafanyaje yaani
Kesho jumatatu nawafuata hukohuko wakanieleze maana
Huu mchezo unahitaji hasira alafu nimeshaanza kupendaga ujinga!!!!!!!!


Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
ukiwafata majibu yao n always.
Kama wameyapangilia vile
 
Back
Top Bottom