Heslb makuzi kweli

kwa mtazamo wangu,bodi wanabeba lawama ktk nyanja hizi:kushindwa kugawa mkopo kulingana na hali halisi za kiuchumi za waombaji(kufel ktk hili kunapelekea sisi makayumba kukosa mkopo ilhali usawa maskan unakaba,kwa kifup bodi wanafanyaga kamchezo ka sandakalawe!).Pili,ni khs priorities ya kozi,bodi wamekua wakirushiana mpira na tcu juu ya course prioritie toka mwaka jana.Kwanini bodi wasingekanusha officially kwamba course priorities sio guantee ya m2 kupata mkopo ili waombaji wasiwe na ma2maini HEWA ya uhakika wa mkopo?!(ktk hili bodi hawana cha kujitetea kwa wamelidanganya taifa waziwazi,wanapaswa kuwajibika.Mwisho kabisa lawama lazma zielekezwe Serikalini moja kwa1,hapa lazma 2kiri kuwa bodi ni wagawaji2(allocators) wa kile wapokeacho serikalini!km wamepewa kidogo hawawez kutoa kingi kwa wahitaji&vice versa is true!.Vlevle serikal huenda haifatilii ipasavo matumizi ya hzo fedha hvyo kutoa mwanya kwa wa2mishi wa bodi kuzifuja.Serikal imetenga takrban milio 300 na kdgo,pesa hii inahusisha operational costs za bodi km taasisi ambazo ha2jaambiwa ni % ngap ya bajeti nzma!,huenda(tetesi) gharama za uendeshaji wa ofisi interms of mishahara,posho na per dm ni kubwa sana hvyo kubakiwa na kiasi kdg kwa ajili ya mikopo ye2.Wito wangu kwa serikali ni kuongeza kwa kuangalia idadi halisi ya wahitaji pa1 na kuzimonitor hzo pesa zfkapo bodi. Nawasilisha.
 
Yani huku hakuna hata matumaini mama mwenyewe waliemtuma hana majibu ya maswali yetu hata madudu wanayoyafanya board nae haelewi tumeamua kumpotezea. Afu mpango wa kuapil watatoa maelekezo kupitia web yao.#angalizo board watatoa majibu after three months kwa walioappeal kama wamepata ama nin? Ni hayo tu yaliojiri leo pale board hadi kufikia saa 6 mchana muda niliondoka mimi

dah yani hapo ndo nazidi kuchoka
 
Heslb wanasema kuna muongozo wamepewa toka serikalini kuhusiana na ugawaji wa hio mikopo nani apate na nani akose na sio ile guide book ya tcu. Sasa swali linakuja huo muongozo upo wapi?na inakuaje wanaendelea kuiachia tcu iendelee kupotosha watu? Wanafunzi wengne kutokana na usawa kukaba wanakula mpakani mwa mchana na usiku wanaamua kujaza kozi zenye priority wazionazo kupitia tcu guide book kumbe heslb hawaitambui hio guide book ya tcu. Tafakari chukua hatua changes ni sisi pamoja twaweza.
 
chomeni moto ofisi,,,,,,mbona mnachelewa,,watu wenye majibu mabaya nan aliwapa ajira hapo?
 
Jino kwa jino. Tindikali ndo dawa yao. Mie nimekosa kwa mara ya pili tena nikiwa BAED. Sasa nini kosa langu. We will parnish them.
 
Back
Top Bottom