Heslb makuzi kweli

Pung'o boy

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
685
304
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book, tcu ndo wamewaingiza mkenge eti wao hawazitambui
 
Hii nchi yetu bhana majanga tupu, saivi wamekuja waandishi wa habari tumeanza kikao upya
 
Pung'o boy.....
Poleni sana kwa hayo majanga..

Hebu tulieni muwasikize hao jamaa(wakubwa),yawezekana hao wanaojibu kihasarahasara ni vibarua tu...
 
Last edited by a moderator:
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book, tcu ndo wamewaingiza mkenge eti wao hawazitambui

Watu wenye majibu ya kipuuzi huwa hawakosekani kwenye maofisi, huyo jamaa amejibukwa mtazamo wake. Naamini wasemaji wakuu juu ya hilo wapo na watasema jambo lenye maana. Waulizeni pia mpango wa ku-appeal umekaaje?
 
Huyo jamaa anayejibu kipimbi,hajui internal feelings and emotions za watu...inshort ana dharau sana;

All in all,mliokosa kuweni wapole,kama haki imekaa upande wako,it'll be granted to you....
 
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book, tcu ndo wamewaingiza mkenge eti wao hawazitambui

Watu wenye majibu ya kipuuzi huwa hawakosekani kwenye maofisi, huyo jamaa amejibukwa mtazamo wake. Naamini wasemaji wakuu juu ya hilo wapo na watasema jambo lenye maana. Waulizeni pia mpango wa ku-appeal umekaaje?
 
Na nyie mnaboa bhana..!! Hata tindikali mmeshindwa kubeba? Mafunzo ya Jktee Hamyatumii vizuri
 
Tatizo kule hawakutufundisha kutumia tindikali....

Na yale machache tuliyofundishwa,tuliishia kusema
"Sina ganda wala risasi"

Laiti kama tungekua na vitendea kazi,wallah hawa jamaa wangekoma...
 
Tutajipanga tu ku-revenge. Mana mkopo ni halali yetu
 
Yani huku hakuna hata matumaini mama mwenyewe waliemtuma hana majibu ya maswali yetu hata madudu wanayoyafanya board nae haelewi tumeamua kumpotezea. Afu mpango wa kuapil watatoa maelekezo kupitia web yao.#angalizo board watatoa majibu after three months kwa walioappeal kama wamepata ama nin? Ni hayo tu yaliojiri leo pale board hadi kufikia saa 6 mchana muda niliondoka mimi
 
Back
Top Bottom