heshima za mwisho kwa aliyekuwa RPC Mwanza.

habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!

552497_262987217157796_289810017_n.jpg
Mkuu charminglady na huyo mwenye picha hapo juu atakuwepo..kama atakuwepo wallah na kuja
 
Wastage of government funds! Why don't they just take his body to KIA then from there drive his body to Marangu? Why should they take him to Dar then MOSHI? What a pitty country...
wewewewewewe lazima akaagwe nyumbani kwake DAR
 
Je ikithibitika alikuwa ametoka kuzini ni haki kwa viongozi wa dini kumzika kwa heshima zote?
unafikiri wote wanaokufa na kuzikwa kwa heshima wameufia utakatifu jua maana ya katiba na sheria kama alikuwa ni muumini mzuri kanisani alifundishwa vema mafundisho matakatifu ,yeye kufia dhambi haiwahusu viongozi wa din wao mpaka wao ulishakwisha pitw kumwelekeza kutenda mema na kumtii mungu.sasa imebaki mungu amhukumu yeye pekee kwa kutokutekeleza yale aliyoelekezwa.
 
Jamani Protocali lazima zifuatwe ata kama alishikwa kwenye ug......i
Mbona mtaani ata Jambazi akifa anaagwa na kuzikwa kwa heshima tuu
 
utakuwa nyamagana kuanzia saa nne, misa ya kumuombea itafanyika, na baadaye salamu kutoka kwa watu mbalimbali viongozi wa dini, polis, serikali, siasa na heshima kwa wote kabla ya saa nane kupelekwa airport tayari kwa safari ya kwenda dar.

Dar mwili utapelekwa kwake upanga dsm, huko utaagwa na ndugu jamaa na marafiki na kesho unapelekwa marangu tayari kwa taratibu za mazishi

misa ya kumuombea mzinifu? huyo mchungaji atakayethubutu kumuombea atengwe kabisa, hawa mapolisi wawe wanaombeana wenyewe kwa wenyewe
 
Na wao wamesharekebisha (actually tangu juzi)..eniwei..ol for good upo Mwanza wewe!?? hows the ceremony??!

yeah,nipo mza but sikupata fursa ya kwenda make ofisi nzima imekwenda huko mie tu ndo mebaki kulinda ofisî. ila naweza kushuhudia umati wa watu na kusikiliza kwa mbali sana make nipo orofani!
 
Back
Top Bottom