CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza SAPC Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
Unaagwa hapa nyamagana, kisha unapelekwa kwa ndege dar. kesho j4 mazishi na maziko kwake marangu, kilimanjaro.
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza SAPC Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
Wastage of government funds! Why don't they just take his body to KIA then from there drive his body to Marangu? Why should they take him to Dar then MOSHI? What a pitty country...
asanteni kwa taarifa. . . Facilitator na ntamaholo tupieni picha mkizipata!
....Wanaenda kufanya nini hao wa kwenye Red?..Maana mh!!utakuwa nyamagana kuanzia saa nne, misa ya kumuombea itafanyika, na baadaye salamu kutoka kwa watu mbalimbali viongozi wa dini, polis, serikali, siasa na heshima kwa wote kabla ya saa nane kupelekwa airport tayari kwa safari ya kwenda dar.
Dar mwili utapelekwa kwake upanga dsm, huko utaagwa na ndugu jamaa na marafiki na kesho unapelekwa marangu tayari kwa taratibu za mazishi
Mmmmmmh haya bhanaRest in Fire Kamanda, kumbe na nyinyi huwa mnauwa kwa risasi ,nilijua ni kina Mwangosi pekee yao