Hemed suleiman P.H.D amfunika T.I.D

Muuza sura unapenda umarioooo ndio maana kutwa scrub,wave viskin jeans mapoodaaa usoni,unyunyuuu,supra hili mradi umteke mtoto haaaaa,wao hawawezi mambo hayo mda mwingi wapo busy kusaka mahela akipumzika anatafuta mtoto wa kiarabu amliwaze!
correction King kong ,hatuwatafuti bali wenyewe wanajileta kupitia mawakala wao! si unajua hela.elimu ,umaskini ,umburula havijifichi hata tukivaa magunia mademu wananusa harufu ya hela!
 
platinumz hana billions ila hela anayokamata kama yeye inamtosheleza na vitu anavyopenda na anavyomiliki vinaonekana kama gari na duka!P.H.D anakamata pakee katika industry ya bongo movie ila mali anazopenda kumiliki ni wanawake wazuri na kuvaa tu!si chizi magari!ila account yake kwa umri wake na jinsi deals zinavyozidi kumuendea swadakta basi muda utaongea!!!!

Aisee...pumba plus maji.
 
Muuza Sura = hemed.....kinacho endelea hapa ni promo japo kua bado saanaaa kwa TID kwenye kuimba utasubiri milele,one thing i like about you ni "self appreciation" keep it up son!!

Muuza sura ndiye phd! Ooh ila mrembo kweli kweli huyu kijana.Akazane kuwala warembo wazidi kumwambukiza urembo maradufu.
 
Last edited by a moderator:
hata mimi sijawahi kumuelewa kwakweli, simkubali popote kuanzia uimbaji,uigizaji hata uvaaji, na alivyonenepa ndio akawa kituko, afadhali hata yule hemedy wa tpf(aloshiriki mwanzo) alikuwa na mvuto, huyu wa sasa walaaa, tid pamoja na kutumia madawa bado hemedi hamfikii hata robo kwa kuimba.

Ule wimbo wa usiniache ni mzuri kweli kweli....nyingine matap tap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom