Help: Nahitaji jina kwa ajili ya tovuti yangu mpya

bora ungeleta wazo tukajadili, lakini hii ya kutaka tukutafutie jina naona itakuwa ngumu.
 
ukisema website itakuwa too general, ni mtandao wa kijamii ambao people will be signing up and interacting, kama humu jf, pia wataweza ku upload na kudownload media like videos, photos na bongoflavas,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom