Help me save my Laptop

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,062
1,292
Hi wandugu, hope mko poa.
Mwenzenu leo siku ya tatu my samsung laptop zile ndogo zile, inachelewa kuwaka! Na ikiwaka haidisplay chochote! Wat cud b the problem? Nifanyeje?
Natanguliza shukrani.
 
Jaribu kupiga chini windows au toa ram halafu ianche kwa muda kama nusu saa then rudishia jaribu option ya pili kwanza ikikataa weka windows nyingine tena weka windowa nyepesi kama windows xp au windows 7 starter
 
Thank u tata mvoni, hii ,ngoja nijaribu.
 
Back
Top Bottom