Help me please!!!?: Where to certify form 6 and form 4 certificates.

MAGUNJA

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,003
545
Wadau nimepata nafasi ya kusoma master's kwenye University moja hapa Tanzania. Admission letter yao inanielekeza ku-CERTIFY nakala za vyeti vyangu vyote kwenye vyuo shule nilizosoma. Je certificate ya form 6 na form 4 itanibidi kwenda baraza la mitihani au kuna mahali pengine. Nilimaliza zamani kabla mitandao ya kompyuta haijaanza kutumiwa na baraza. Help please ili niwahi registration.
 
Unamaanisha hauna certificate zako? Kama unazo kapige copy kisha peleka kwa lawyer akugongee mihuri. Kama hauna nenda Necta wakusaidie.
 
Inayokuwa certified si copy mkuu?unakuwa na copy na original unatinga kwa pilato(magistrate)anagonga mihuri ya kucertify
 
Inayokuwa certified si copy mkuu?unakuwa na copy na original unatinga kwa pilato(magistrate)anagonga mihuri ya kucertify

Ni copy ndio. Ahsante maana nilikuwa nawaza kwenda baraza. Kumbe kwa pilato inatosha.
 
Back
Top Bottom