Purity Emmanuel
Member
- Nov 11, 2011
- 49
- 10
Naomba kwa yeyote anayefahamu mambo ya Advertising anisaidie hili kuna topic inaitwa Advertising strategy and Tactics nimejitahidi kutafuta kwenye baadhi ya reference books lakini sijafanikisha kupata jibu sahihi na hata kwenye mtandao pia lakini sijapata tofauti za kuniridhisha yani zote zimeelezewa juu juu,kwa mwenye uelewa naomba anieleweshe hata kwa kiswahili