Hellow, how r u all.

Karibu sana......Zenji sehemu gani? Mchambawima au Kibanda maiti?
 
Angel eti ni kweli siku ya ijumaa baada sa sala ya ijumaa mtaandamana kupinga muungano? Tafadhali tueleze vizuri na KARIBU SANA JF.
 
Sijaskia Wallah, no time with such things.
Bt kwa nn tupinge muungano?
 
Karibu Vin Diesel. Ndo mwanzo wa kujuana. Thanx chatu dume, thanx all
 
Angel karibu sana JF. Unaonekana toka mwanzo kuwa wewe ni Great Thinker! Feel at home
 
Thanx Mkoloni, thanx Rejao. Mm ni teacher so I cop with things mara 1. Senetor ikitaka kuyajua yote kuh mm karibu Zenji njoo unione personal tutalonga freeesshhh... Au ww ndo MD wa Jf? Isije ikawa naharibu Mkuu
 
Back
Top Bottom