Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,208
- 16,270
Hellow all members of JF, m happy to join JF lkn nimesumbuka kweli mpk leo kuweza ku log in. Nawaomba mnipokee jamani. Karibuni Zeeeennnjiiiii......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana......Zenji sehemu gani? Mchambawima au Kibanda maiti?[Hahahaaaa, wewe unapajua Mchambawima na kibanda maiti tu enhe? Kwangu kunaitwa Kilimani]
Senetor chama changu siri yangu, ila ni against chama tawala. Lkn yamehs nn hayo mbona wantisha?
Comments zako zinaonyesha wewe ni mkongwe hapa! karibu kwa hii id mpya lakini!Senetor chama changu siri yangu, ila ni against chama tawala. Lkn yamehs nn hayo mbona wantisha?