Hello, naomba kujua mishahara na marupurupu ya watu wa BANDARI

Plan Of Action

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
462
381
Habari wakuu, naomba kufahamu mashlahi ya wafanyakazi mbalimbali katika nafasi mbalimbali Bandarini.

No offense intended, kwa wanaofahamu tu naomba tuongezeane ufahamu..

Majuzi nimetembelea pale nimepata fununu kuna vyeti feki 500 vimeshikwa (port of dsm), kwa maana hii inaonekana pale ni hot cake. Je, malipo yao wanafaidikaje?

Marupurupu vipi?
 
Taasisi nyingi za serikali scale zao hazipishani sana, kinachowapa pesa ni malipo nje ya mshahara ambazo pia ninategemea sana safari, vikao, pesa kama ya chakula nacho ni sawa. Kwahiyo pesa tofauti na uwizi itategemea na kitengo uliopo, kuna wengine walikua na vikao vitatu kwa wiki Bagamoyo japo wanatoka TPA Dar.
 
asante mkuu. kama upo TPA Dar naomba nikutafute
 
Back
Top Bottom