Kwa mwenye taarifa juu ya hili tufahamishane.
Taswira ya Helicopter baada ya kuanguka huko Kipunguni
Habari zenu,
Wakati tukiendelea kusikilizia habari za ESCROW habari za hivi punde zimenifikia toka kwa jamaa yangu wa karibu sana kuwa helikopta ya maliasili imedondoka maeneo ya Kipunguni karibu na Moshi bar na kuua wote waliokuwepo ndani yake wakiwemo polisi.
Mwenye taarifa zaidi atujuze
Taswira ya Helicopter baada ya kuanguka huko Kipunguni