Helicopter made in Dar Es Salaam Tanzania

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,937
156,084
68610_10151218630928733_1848824210_n.png
 
inapaki wapi iyo bajaji nikaipande?....nimekipenda....nikifika nyumbani,kesho yake lazima watoto wahadithie..."baba leo kaletwa na hedikopta"
 
Kwanza hata jeuri ya kuteneza bajaj
mnayo hapa bongo??
Kwa elimu hii ya kibinafsi kwamba wasomi tanzania wanatosha kwa kusomea fedha za uma na kukalia mamlaka,ungoz,vyeo kwa kupeana na hataki kuachia ngaz kwa ubnafs wao
wakaweka shule za kata ili mpotelee hukohuko, wazalisha mavyuo kibao af hawawatekelezei mahitaji yao kila siku maandamano mitoto yao inasomea nje
we unafikili kuna hata baisker mde in Tz??
Pumbaf saaana mi napataga moto!!!!!!@@@@@----*****#####xyz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom