Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
Mwigulu na Lusinde povu limewatoka kwa hasira. Imewauma sana, kuwabeba watu kwenye mafuso na kuwahutubia kwa masaa just to realize wote ni Chadema. Wameshindwa kuendelea na mkutano ikabidi waukatize.