Helcopter ya CDM yachafua hali ya hewa Mkutano wa CCM Ngaresero Arumeru

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Wakati Mgombea Sioi Sumari akinadi sera zilizojaa matusi na kejeli wa CDM mida ya saa 12 Kasoro,Ilipita Helcopter ya CDM ikielekea Maji ya Chai Kumchukua Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CDM Josh Nassari,Umati iliokuwa hapo uwanjani ulishangilia kwa nguvu huku wakionyesha ishara ya V,hali hiyo ilimfanya Sioi Sumari kutatisha sera na kujikuta akifunga Mkutano kabla hata ya Muda.Waliokuwepo eneo la tukio watakuwa na mengi ya kuongelea juu ya hili maana lilizua zogo kubwa...
 
kuna vijana wamebuni mbinu ya kula hela za ccm.wanachukua elfu ishirini ili kuhudhuria mkutano wa ccm halafu muda wa kuondoka ni kuzomea gari la komba huku wakionyesha alama ya v.
 
Kwani naye Komba yuko huko sasa atakuwa anaimba huku kasinzia au mbele yake wanawekwa warembo ili angalau aweze kupepesa macho
 
kuna vijana wamebuni mbinu ya kula hela za ccm.wanachukua elfu ishirini ili kuhudhuria mkutano wa ccm halafu muda wa kuondoka ni kuzomea gari la komba huku wakionyesha alama ya v.
magamba ni magamba tu,apr 1 nikipigo tu.
 
Wakati Mgombea Sioi Sumari akinadi sera zilizojaa matusi na kejeli wa CDM mida ya saa 12 Kasoro,Ilipita Helcopter ya CDM ikielekea Maji ya Chai Kumchukua Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CDM Josh Nassari,Umati iliokuwa hapo uwanjani ulishangilia kwa nguvu huku wakionyesha ishara ya V,hali hiyo ilimfanya Sioi Sumari kutatisha sera na kujikuta akifunga Mkutano kabla hata ya Muda.Waliokuwepo eneo la tukio watakuwa na mengi ya kuongelea juu ya hili maana lilizua zogo kubwa...

Mkuu ni kweli helcopter ilipitia wakati huo lakini ilikuwa inakwenda kupaki.mbowe na Nassari waliondoka kwa gari.
 
kuna vijana wamebuni mbinu ya kula hela za ccm.wanachukua elfu ishirini ili kuhudhuria mkutano wa ccm halafu muda wa kuondoka ni kuzomea gari la komba huku wakionyesha alama ya v.

Jack ukitaka kujua hilo angalia katika mikutano ya ccm jinsi audiance ambavyo hairespond kwa mgombea.kitu ambacho kwa cdm response ya audiance mia!
 
Saa hii sijui wataenda Kwa Malima kumuazima ile silahaa aloporwa kule Morogoro watungue nayo Helikopta
 
kuna vijana wamebuni mbinu ya kula hela za ccm.wanachukua elfu ishirini ili kuhudhuria mkutano wa ccm halafu muda wa kuondoka ni kuzomea gari la komba huku wakionyesha alama ya v.
Tunakula ccm tunalala Chadema hiyo ndo fomula ya arumeru east kama ulikuwa haujui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom