miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
mkuu wewe unaweza lipia nyumba akae mwanaume mwenzio? any way ngoja niingie huko nionesasa solution ni kumnyang'anya mama mtoto au kuwashauri waishi nyumba kubwa zaidi kwa ajili ya privacy? mtoto si nguo ni binadamu. hekima na busara zinatakiwa kutumika badala ya mihemko. hapo mtoto anaishi na mama aliyemzoea, tatizo nyumba ndogo hakuna usiri. huko mkoani ataenda kuishi na baba mzazi lakini mgeni na mama mlezi mgeni. hawa wazazi wajishushe wakae wajadili hatma ya mtoto badala ya kukomoana.